TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Bado heirs wake wata enforce judgment ya mahakama
Ingawa sheria inalitambua deni, ila kuna asilimia kubwa sana ya hilo deni kusamehewa na famili. Yaani urahisi wa Musiba kusamehewa upo kwasababu mtu wa kuisukuma hiyo agenda hayupo tena.


Sio ndugu wakihangaika na kitu kama hicho tena, kwahiyo hii ni furaha kwa Musiba.
 
Sasa Musiba kifo cha Membe ndio kitaondowa jukumu ya mahakama?

Hizo pesa ni mirathi ya familia, maumivu ya Musiba yako palepale.
Ingawa kisheria deni halijafutika ila hii ni ahueni kwa Musiba, kwasasa option nyingine zinaweza kufikirika kuliko Membe (mhusika) angekuwepo.

Sidhani kama familia itakuwa na muda wa kufuatulia hizi pesa.
 
TENA ndipo watakazia zaidi...KWA uchungu wa hisia kuwa kuna jambo nyuma ya hichi kifo
Kama hicho kitu mnachohisi nyinyi kitakuwa na ukweli, hauoni kwamba bado kuna mmoja mwingine anaweza kunyofoka vilevile? Ikitokea hivyo hizo nguvu za kukazia watazitoa wapi?

Kama itakuwa ni hivyo mnavyohisi, njia pekee ya kuymaliza ni kusamehe vinginevyo mwenye nguvu ndiye atakae shinda.
 
Nikisema huna akili nitakuwa nakukosea?

Dalali anayeuza Mali anapewa kazi na mahakama na ana commission yake, sijui mlikwenda shule kufanya nini yarabi?
Hauna mali yoyote ya Musiba iliyouzwa mpaka sasa, kwa jinsi sheria yetu ilivyokuwa matundu si ajabu ukasikia kesi imerudi tena mahakamani na kwakua aliyekuwa anaipa nguvu kutokana na ukubwa wake serikalini hayupo, itakuwa ni ahueni kwa Musiba.


Kiufupi ni kwamba, atleast Musiba anaweza kupumua huku akiangalina namna nyingine ya kujinasua.
 
Membe alipata wapi ujasiri wa kudai 9bilion? Kwa kosa gani? Kisa tu matusi ulipwe 9bilion? Watu wangapi walishatukanwa mpaka matusi ya nguoni lakini hatujawahi sikia wamelipwa 9b? Kama ni hivyo mbona watu wangekuwa matajiri yaani kutukanwa tu ulipwe 9bilion?.

Na wafuasi wake mkakosa kabisa busara za kumshauri Membe? Hii inadhihirisha ni kwa kiwango gani mna uwezo mdogo wa kufikiri, swali dogo tu kwenu wafuasi wa Membe tokea kukua kwenu mpaka kuwa na ndevu hamjawahi tukanwa matusi? Je kama mlitukanwa mlilipwa hizo 9bilion?.
 
Msiba wa MEMBE umesadifu mpasuko na chuki alizoziotesha magufuli.....

Magufuli alikuta taifa linaloahikamana, ameacha taifa lililogawanyika ....
Ukiongea vitu vyepesi hua nakulaumu.
Hapa umeongea kitu kizito na Cha maana sana nakupa hongera nyingi sana.
Kama taifa tunatakiwa tuanze upya.
Nchi imejaa roho za chuki na visasi.inahitajika maombi makali sana.
 
Back
Top Bottom