TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Umeifanyia mengi nchi yetu, umetufunza mengi watanzania.

Hukuwahi kuisaliti nchi Wala wananchi kwa ajili ya tumbo lako.

Ulisimamia ukweli na kile ulichokiamini hata tone lako la mwisho.

Uliupinga ule udhalimu wa yule ibilisi hadharani, hukutumika hovyo, Toka ujana wako uliubeba uzalendo wa kitanzania begani mwako na umepumzika nao.

Kifo chako cha ghafla kimetushtua na kutuhuzunisha wengi.
Lala salama shujaa wetu tutakukumbuka daima.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pointless
 
Siwezi kushabikia kifo cha Mh. Membe na siwezi kamwe kumdhihaki kama mnavyofanya enyi kundi la Dkt Samia na Dkt Kikwete. Mnachokifanya na ujinga sana. Najua umeandika kunidhihakia Dkt Magufuli ukijua nitakasirika namimi nimdhihaki Mh. Membe, hapana siwezi kabisa.
Mimi niwe kundi la majizi ya CCM? umejichanganya naona. Ww umdhihaki Membe usimdhihaki hilo utajua ww. Ninachojua dhalimu hayuko duniani saa hii amani imerejea fullstop.
 
Mimi niwe kundi la majizi ya CCM? umejichanganya naona. Ww umdhihaki Membe usimdhihaki hilo utajua ww. Ninachojua dhalimu hayuko duniani saa hii amani imerejea fullstop.
Wewe ni mjinga na kichwani umejaza kinyesi cha mavi ya yako. Wewe ni mbumbu na choko mkubwa. Huwezi kunilazimisha kumdhihaki Mh. Membe.

He deserve respect. Same to Dr Magufuli, hawa ni viongozi. Hakuna aliyefanya maamuzi hasa kwa rais based on his/her own ila ni taasisi ina mshauri na yeye anatekeleza tu. Sasa unapomuita dhalimu etc unadhani unapata ushindi?

Kumbuka mfumo ule ule ambao aliutumia Dkt Magufuli kufanya maamuzi ndiyo huo huo upo na haujafa na ndiyo maana hata Mh. Membe wambeya wanasema kaondolewa na mfumo huo huo aliouasisi na kuutumikia kwa miaka yote. Hivyo kaa kimya kabisa choko mkubwa hujui kitu mbwa kabisa
 
Kipindi cha dhalimu ndio vitu vilipands bei, we huwezi kujua maana ulikuwa unaishi kwa mjomba.
Matako wewe ,sijawai nunua mchele zaidi ya sh 1600 kipindi cha jpm ukiwa na 10000 unaibalance vizuri kabisa ,tupo kipindi cha mavuno lakini bado bei iko palepale 3500 kwa kilo toka hapo kwa shemeji mkaza dada yako ndo utajua maisha jinsi yalivyo.acha kufugwa
 
Wewe ni mjinga na kichwani umejaza kinyesi cha mavi ya yako. Wewe ni mbumbu na choko mkubwa. Huwezi kunilazimisha kumdhihaki Mh. Membe. He deserve respect. Same to Dr Magufuli, hawa ni viongozi. Hakuna aliyefanya maamuzi hasa kwa rais based on his/her own ila ni taasisi ina mshauri na yeye anatekeleza tu. Sasa unapomuita dhalimu etc unadhani unapata ushindi? Kumbuka mfumo ule ule ambao aliutumia Dkt Magufuli kufanya maamuzi ndiyo huo huo upo na haujafa na ndiyo maana hata Mh. Membe wambeya wanasema kaondolewa na mfumo huo huo aliouasisi na kuutumikia kwa miaka yote. Hivyo kaa kimya kabisa choko mkubwa hujui kitu mbwa kabisa

Yaani usingepanick hivi ningeshangaa sana.😂😂
 
Yaani usingepanick hivi ningeshangaa sana.😂😂
Tindo sisi wazalendo kila siku tunalia na kumlilia Dkt Magufuli. Halafu nyie mnadhani mkimdhihaki Dkt Magufuli tunachukulia poa. Mjue hii ni vita ya kufa mtu mpaka mambo yakae sawa. Jua kabisa hizi kauli zenu ni vita hata ya miaka 50 huko mbeleni maana haiwezekani mzalendo kama Dkt Magufuli auawe na kuendelea kudhihakiwa halafu manaofanya hivyo eti muishi kwa raha hapana kabisa there a price for you traitors to pay!

Mimi siwezi kabisa kumdhihaki Mh. Membe kwa sababu udhaifu wake wa kugombana na Dkt Magufuli hauwezi kuondoa/kupunguza uadilifu wake kwa taifa letu. Tunaamini Mh. Membe alikuwa mtu muhimu na ataendelea kuwa moja ya watumishi wazalendo kabisa. Mungu ailaze roho yake pahala pema peponi.
 
Tindo sisi wazalendo kila siku tunalia na kumlilia Dkt Magufuli. Halafu nyie mnadhani mkimdhihaki Dkt Magufuli tunachukulia poa. Mjue hii ni vita ya kufa mtu mpaka mambo yakae sawa. Jua kabisa hizi kauli zenu ni vita hata ya miaka 50 huko mbeleni maana haiwezekani mzalendo kama Dkt Magufuli auawe na kuendelea kudhihakiwa halafu manaofanya hivyo eti muishi kwa raha hapana kabisa there a price for you traitors to pay! Mimi siwezi kabisa kumdhihaki Mh. Membe kwa sababu udhaifu wake wa kugombana na Dkt Magufuli hauwezi kuondoa/kupunguza uadilifu wake kwa taifa letu. Tunaamini Mh. Membe alikuwa mtu muhimu na ataendelea kuwa moja ya watumishi wazalendo kabisa. Mungu ailaze roho yake pahala pema peponi.

Ila hapa jf kuna burudani za kutosha, kwamba Magufuli alikuwa mzalendo, na Membe alikuwa muadilifu. Nimecheka mpaka watu wameniangalia. Imebidi nichukue Kamusi nione maana ya neno uzalendo na uadilifu, nimegundua ww ni bingwa wa reverse. Kamusi inakataa kutokana na matendo ya hayo madubwashwa yako mawili. Ila kwakuwa ulifaidika na hela za plea bargaining zilizoko China, na hela za Gadaffi ni haki yako kuyapamba hayo madubwashwa.
 
Ila hapa jf kuna burudani za kutosha, kwamba Magufuli alikuwa mzalendo, na Membe alikuwa muadilifu. Nimecheka mpaka watu wameniangalia. Imebidi nichukue Kamusi nione maana ya neno uzalendo na uadilifu, nimegundua ww ni bingwa wa reverse. Kamusi inakataa kutokana na matendo ya hayo madubwashwa yako mawili. Ila kwakuwa ulifaidika na hela za plea bargaining zilizoko China, na hela za Gadaffi ni haki yako kuyapamba hayo madubwashwa.
Wee utakuwa vyeti feki sio bure
 
Nipo maeneo flani nimekaa nikawa nawaza nikajikita nimemuhusisha Membe kwenye mawazo yangu.. Ni kama sikuamini ameondoka na hatutamuona tena haslami(kama wasemavyo waswahili)

Wakuu Dunia tunapita.. maishaisha tunayoishi Ni mafupi.. tuishi ili tukipotea tuishi Kwa mayendo yetu kama comrade Membe.. RIP [emoji1374]
 
Back
Top Bottom