Uchaguzi 2020 Bernard Membe akiri barua inayosambaa mitandaoni ni yake

Uchaguzi 2020 Bernard Membe akiri barua inayosambaa mitandaoni ni yake

Sidhani Membe alikuja kuhujumu, alikuwa ana uhakika wa kufanya vizuri, lakini akashindwa kumpiku Lissu. Na kwa kutumia hekima aliona hakuna haja ya kupoteza pesa na nguvu kugawa kura za upinzani.

Si vizuri kumsakama.
 
Sidhani Membe alikuja kuhujumu,alikuwa ana uhakika wa kufanya vizuri,lakini akashindwa kumpiku Lissu.
Na kwa kutumia hekima aliona hakuna haja ya kupoteza pesa na nguvu kugawa kura za upinzani.
Si vizuri kumsakama.
Si angemuunga mwenzake sawa na alivyoahidi awali?
Huyu ni mharibifu tu

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Huyu ataomba na kubembeleza kurudishwa CCM maana alifukuzwa.

Nadhani mwaka 2025 Wapinzani hawatorudia tena kosa la kuokota makapi kutoka CCM
Kwa jinsi anavyo behave sasa hivi analipa gharama za kumrudisha CCM, yahani ile wavuruge ndo tukurudishe.
 
Huyu ataomba na kubembeleza kurudishwa CCM maana alifukuzwa.

Nadhani mwaka 2025 Wapinzani hawatorudia tena kosa la kuokota makapi kutoka CCM
Makapi bado wanayo na yataendelea kuwemo. Mpaka kesho Nyalandu ataendelea kuwepo CDM.
 
Back
Top Bottom