Uchaguzi 2020 Bernard Membe amuunge mkono Tundu Lissu

Hawezi kusimama upright? una maaniasha nini?
i mean Lissu is now a cripple and unfit for public service that demands mental health, psychological stability, standing for many hours and walking long distance ( God forgive me to say this painful truth). acheni kupoteza muda wetu kumhusisha Lissu na urais! mnatuboa!! kuna mambo ya muhimu zaidi kushambulia jukwaa kama ajira na hali ngumu, uoga wa raia kuongea nk
 

Mtoa mada usiwe na haraka. Kumeitishwa subira, kunawekwa kisiki cha mpingo.
 
Tumekusoma. Waachie wapinzani watuletee wa/mgombea wao wa urais. Ila chema alichotenda Magufuli kwa wananchi kitaendelezwa na kisicho chema kitatupwa na kusahaulika pamoja na kulipiwa gharama yake.
 
You are myopic politically!
 
A Aisee!!!
 
Umeanza vizuri umemalizia vibaya!
 
Nyie si mlimtukana sana Zitto tena matusi makubwa makubwa mpaka mkakataa kushiriki hata msiba wa kifo cha mama yake? Mlifikiri ndio kafa kisiasa?
Ningekuwa Rais ningekutafuta na kukupa ajira ya KAMISHNA WA UZUSHI NA UZANDIKI.
Sijapata kuona binadamu mzushi wa kiwango chako nchi hii.
 
Hilo siyo lengo la Membe kwenda ACT hivyo usichanganye mada tafadhari.
 
Haaahaaa
Maneno Kama haya huleta Vita Tena ukiyasema mbele ya mkurya.....utasikia anasema 'ntakugecha mula'
 
Hivi huyu Lissu keshapitishwa na CHADEMA? Tulieni na acheni chama kifanye process. Mnaweza kushangaa Nyalandu akampa Lissu kipigo
 
Usiwe na hofu mtoa post, JPM atashinda kwa kishindo. Hasa wengine wanarukaruka tuu uroho wa madaraka. Member na Lissu pamoja na wafuasi wao wanajua kuwa wanapoteza wakati Kwa kuwadhihaki na kuwahadaa Watanzania, tutawaadhibu oktoba
Nini maana ya uroho wa madaraka?
 
Lissu anatoa taarifa za kufuatiliwa na gari isiyojulikana 2017


"hatufanyii kazi taarifa za kishabiki za mitandaoni sisi"

Lissu anatangaza kurejea 2020


"hata Hivyo tumeona katika mitandao ya kijamii baadhi ya viongozi wa Chadema wakihamasisha wananchi kukusanyika.

Kuna watumishi wana akili mbovu sana
 
Membe karibu mshirikiane na Lissu itakuwa uchaguzi wenye kishindo.
Ili tukishindwa tumeshindwa, hatutaki kulaumiana, kama 2015 mala ohoo badala ya kumpa lowasa angesimamishwa le profeseri lipumba!!?? Kweli? Hayo masihala yaani lipumba angeleta amshaamsha zaidi ya lowasa kweli?!!!! Zamu hii ni lisu pekee ndio anaweza amsha hali ya watu kujitokeza kupiga kula na si mwingine.
 
Membe Nyalandu haifiki 2025 watakua wamesharudi kuunga juhudi. Upinzani ndipo unapopoteaga maboya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…