Uchaguzi 2020 Bernard Membe amuunge mkono Tundu Lissu

Hawezi kusimama upright? una maaniasha nini?
i mean Lissu is now a cripple and unfit for public service that demands mental health, psychological stability, standing for many hours and walking long distance ( God forgive me to say this painful truth). acheni kupoteza muda wetu kumhusisha Lissu na urais! mnatuboa!! kuna mambo ya muhimu zaidi kushambulia jukwaa kama ajira na hali ngumu, uoga wa raia kuongea nk
 
Membe amuunge mkono Lisu. ACT ni chama kichanga sana. Haiwezekani mgombea wa urais atoke ATC. CHADEMA ina wanachama wengi sana haiwezekani mgombea atoke kwenye chama kisichokuwa na wanachama wengi.

Ujio wa Membe hautakuwa na impact kubwa sana kwenye upinzani. Membe anajulikana ukanda wa kusini tu. Tanzania ni kubwa sana, watu watakaokuja na Membe upinzani ni asilimia ndogo sana ya wapiga kura wa Tanzania nzima.

CHADEMA msifanye kosa mkamuunga mkono mpinzani yoyote wa nafasi ya urais zaidi ya Lisu. Upinzani mkichukua nchi tafadhalini myaendeleze yote mazuri anayoyafanya Magufuli. Miradi yote aliyoianzisha Magufuli ambayo haijakamilika mkaikamilishe. Hizi ni hela za watanzania. Haiwezekani kila rais anayeingia anakuja na mambo yake mapya na kuyatelekeza ya mtangulizi wake.

Watanzania walio wengi wanaifurahia miradi inayofanywa na Magufuli. Hakuna asiyefurahia kuona miradi mikubwa kama hii inatekelezwa. Kwenye kampeni zenu nendeni mkawaambie wananchi kuwa hakuna hela ya watanzania itakayopotea kwenye hii miradi aliyoianzisha Magufuli, mnaenda kuikamilisha pale alipoishia.

Mkimsimamisha Membe mnaenda kushindwa vibaya sana. Membe hajulikani kwingine kote isipokuwa ukanda wa kusini na kwenye mitandao ya kijamii. Wapiga kura wengi hawapo kwenye mitandao ya kijamii.

Binafsi natamani Magufuli aendelee kutawala ili akamilishe miradi aliyoianzisha.

Mtoa mada usiwe na haraka. Kumeitishwa subira, kunawekwa kisiki cha mpingo.
 
Tumekusoma. Waachie wapinzani watuletee wa/mgombea wao wa urais. Ila chema alichotenda Magufuli kwa wananchi kitaendelezwa na kisicho chema kitatupwa na kusahaulika pamoja na kulipiwa gharama yake.
 
Hakuna cha tundu lissu membe mbowe sijui nani. Hao wote sio lolote kwa nafasi ya urais. Upinzani safari hii kwa ujumla wakifanya vizuri sana watapata sio zaidi ya asilimia 20. Hakuna wasiwasi kazi na miradi ya magufuli vitaendelea. Tena ilani mpya italeta miradi mipya kuipaisha zaidi nchi kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati.
Hao vibaraka wa uliberali wenye kutaka kurudisha uchumi wa madawa ya kulevya na rushwa kila mahali nafasi hawana.
You are myopic politically!
 
A
Sidhani kama Lissu, atafanikiwa kuwa kwenye kinyang'anyiro cha urais 2020, vikwazo ni vingi, ikiwa pamoja na pesa, muda hata afya.

Lissu akifanya uwamuzi wa kwenda ACT, ni kama kupoteza muda. ACT bado ni chama kichanga sana na kimejaa watu wenye misimamo mikali ya kidini na ya kisiasa.
Aisee!!!
 
Membe amuunge mkono Lisu. ACT ni chama kichanga sana. Haiwezekani mgombea wa urais atoke ATC. CHADEMA ina wanachama wengi sana haiwezekani mgombea atoke kwenye chama kisichokuwa na wanachama wengi.

Ujio wa Membe hautakuwa na impact kubwa sana kwenye upinzani. Membe anajulikana ukanda wa kusini tu. Tanzania ni kubwa sana, watu watakaokuja na Membe upinzani ni asilimia ndogo sana ya wapiga kura wa Tanzania nzima.

CHADEMA msifanye kosa mkamuunga mkono mpinzani yoyote wa nafasi ya urais zaidi ya Lisu. Upinzani mkichukua nchi tafadhalini myaendeleze yote mazuri anayoyafanya Magufuli. Miradi yote aliyoianzisha Magufuli ambayo haijakamilika mkaikamilishe. Hizi ni hela za watanzania. Haiwezekani kila rais anayeingia anakuja na mambo yake mapya na kuyatelekeza ya mtangulizi wake.

Watanzania walio wengi wanaifurahia miradi inayofanywa na Magufuli. Hakuna asiyefurahia kuona miradi mikubwa kama hii inatekelezwa. Kwenye kampeni zenu nendeni mkawaambie wananchi kuwa hakuna hela ya watanzania itakayopotea kwenye hii miradi aliyoianzisha Magufuli, mnaenda kuikamilisha pale alipoishia.

Mkimsimamisha Membe mnaenda kushindwa vibaya sana. Membe hajulikani kwingine kote isipokuwa ukanda wa kusini na kwenye mitandao ya kijamii. Wapiga kura wengi hawapo kwenye mitandao ya kijamii.

Binafsi natamani Magufuli aendelee kutawala ili akamilishe miradi aliyoianzisha.
Umeanza vizuri umemalizia vibaya!
 
Nyie si mlimtukana sana Zitto tena matusi makubwa makubwa mpaka mkakataa kushiriki hata msiba wa kifo cha mama yake? Mlifikiri ndio kafa kisiasa?
Ningekuwa Rais ningekutafuta na kukupa ajira ya KAMISHNA WA UZUSHI NA UZANDIKI.
Sijapata kuona binadamu mzushi wa kiwango chako nchi hii.
 
Membe amuunge mkono Lisu. ACT ni chama kichanga sana. Haiwezekani mgombea wa urais atoke ATC. CHADEMA ina wanachama wengi sana haiwezekani mgombea atoke kwenye chama kisichokuwa na wanachama wengi.

Ujio wa Membe hautakuwa na impact kubwa sana kwenye upinzani. Membe anajulikana ukanda wa kusini tu. Tanzania ni kubwa sana, watu watakaokuja na Membe upinzani ni asilimia ndogo sana ya wapiga kura wa Tanzania nzima.

CHADEMA msifanye kosa mkamuunga mkono mpinzani yoyote wa nafasi ya urais zaidi ya Lisu. Upinzani mkichukua nchi tafadhalini myaendeleze yote mazuri anayoyafanya Magufuli. Miradi yote aliyoianzisha Magufuli ambayo haijakamilika mkaikamilishe. Hizi ni hela za watanzania. Haiwezekani kila rais anayeingia anakuja na mambo yake mapya na kuyatelekeza ya mtangulizi wake.

Watanzania walio wengi wanaifurahia miradi inayofanywa na Magufuli. Hakuna asiyefurahia kuona miradi mikubwa kama hii inatekelezwa. Kwenye kampeni zenu nendeni mkawaambie wananchi kuwa hakuna hela ya watanzania itakayopotea kwenye hii miradi aliyoianzisha Magufuli, mnaenda kuikamilisha pale alipoishia.

Mkimsimamisha Membe mnaenda kushindwa vibaya sana. Membe hajulikani kwingine kote isipokuwa ukanda wa kusini na kwenye mitandao ya kijamii. Wapiga kura wengi hawapo kwenye mitandao ya kijamii.

Binafsi natamani Magufuli aendelee kutawala ili akamilishe miradi aliyoianzisha.
Hilo siyo lengo la Membe kwenda ACT hivyo usichanganye mada tafadhari.
 
nyie chadema pumbavu sana zungumzieni wagombea waliopo mezani kina Mwizi wa twiga Nyalandu, Mlevi na Mzinzi DJ Makengeza, makapi ya CCM kinaMembe na wengineo kama wavuta bangi Sugu na Prof J, mvuta bangi Halima, wengine tunasikia kutapika mkitaja mizimu kama Lissu!! huyo mshamba mleteni haraka mbele ya macho yetu wajinga nyie!! nyie chadema mmevurugwa ni punguani!! wengine tunaishi katika what is real and not what is ideal!!
Haaahaaa
Maneno Kama haya huleta Vita Tena ukiyasema mbele ya mkurya.....utasikia anasema 'ntakugecha mula'
 
Hivi huyu Lissu keshapitishwa na CHADEMA? Tulieni na acheni chama kifanye process. Mnaweza kushangaa Nyalandu akampa Lissu kipigo
 
Usiwe na hofu mtoa post, JPM atashinda kwa kishindo. Hasa wengine wanarukaruka tuu uroho wa madaraka. Member na Lissu pamoja na wafuasi wao wanajua kuwa wanapoteza wakati Kwa kuwadhihaki na kuwahadaa Watanzania, tutawaadhibu oktoba
Nini maana ya uroho wa madaraka?
 
Lissu anatoa taarifa za kufuatiliwa na gari isiyojulikana 2017

"hatufanyii kazi taarifa za kishabiki za mitandaoni sisi"

Lissu anatangaza kurejea 2020

"hata Hivyo tumeona katika mitandao ya kijamii baadhi ya viongozi wa Chadema wakihamasisha wananchi kukusanyika.

Kuna watumishi wana akili mbovu sana
 
Membe karibu mshirikiane na Lissu itakuwa uchaguzi wenye kishindo.
Ili tukishindwa tumeshindwa, hatutaki kulaumiana, kama 2015 mala ohoo badala ya kumpa lowasa angesimamishwa le profeseri lipumba!!?? Kweli? Hayo masihala yaani lipumba angeleta amshaamsha zaidi ya lowasa kweli?!!!! Zamu hii ni lisu pekee ndio anaweza amsha hali ya watu kujitokeza kupiga kula na si mwingine.
 
Membe amuunge mkono Lisu. ACT ni chama kichanga sana. Haiwezekani mgombea wa urais atoke ATC. CHADEMA ina wanachama wengi sana haiwezekani mgombea atoke kwenye chama kisichokuwa na wanachama wengi.

Ujio wa Membe hautakuwa na impact kubwa sana kwenye upinzani. Membe anajulikana ukanda wa kusini tu. Tanzania ni kubwa sana, watu watakaokuja na Membe upinzani ni asilimia ndogo sana ya wapiga kura wa Tanzania nzima.

CHADEMA msifanye kosa mkamuunga mkono mpinzani yoyote wa nafasi ya urais zaidi ya Lisu. Upinzani mkichukua nchi tafadhalini myaendeleze yote mazuri anayoyafanya Magufuli. Miradi yote aliyoianzisha Magufuli ambayo haijakamilika mkaikamilishe. Hizi ni hela za watanzania. Haiwezekani kila rais anayeingia anakuja na mambo yake mapya na kuyatelekeza ya mtangulizi wake.

Watanzania walio wengi wanaifurahia miradi inayofanywa na Magufuli. Hakuna asiyefurahia kuona miradi mikubwa kama hii inatekelezwa. Kwenye kampeni zenu nendeni mkawaambie wananchi kuwa hakuna hela ya watanzania itakayopotea kwenye hii miradi aliyoianzisha Magufuli, mnaenda kuikamilisha pale alipoishia.

Mkimsimamisha Membe mnaenda kushindwa vibaya sana. Membe hajulikani kwingine kote isipokuwa ukanda wa kusini na kwenye mitandao ya kijamii. Wapiga kura wengi hawapo kwenye mitandao ya kijamii.

Binafsi natamani Magufuli aendelee kutawala ili akamilishe miradi aliyoianzisha.
Membe Nyalandu haifiki 2025 watakua wamesharudi kuunga juhudi. Upinzani ndipo unapopoteaga maboya hapo
 
Back
Top Bottom