Bernard Membe ataka Msaidizi wake Jerome Luanda aliyetekwa arudishwe bila Mchubuko, vinginevyo watafikishana Mbali, hela za Kampeni zatajwa

Hao waliomteka ndio wanamuogopa, na ni walewale wanaoitwa wasiojulikana kumbe walishajulikana siku nyingi sana, anyway isijekuwa attention seeking.
 
Wanataka tucheze ngoma yao ...
Hamna tukio hapo mgombea wa ACT aache kutumika...

Amini nawambieni
 
Hii ni muvi tu,deep state inataka watu wasimjadiri Lisu anavyo ibomoa ccm kiasi kwamba Jiwe,anatoka mishuzi tu,wajadili utekaji wa wasiojurikana,
Kila kona matangazo na lipicha likionyesha kizee kisicho na mvuto,sasa Kama umefanya Mengi,na wewe ni jembe,sasa matangazo yoote na mabango ya nini?unamtangazia nani?wakati wote wanakufahamu.
Hili tukio la Membe la utekaji,litakuwa limepangwa na maccm na Membe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…