Umeniwahi nilitaka kuuliza swali kama hilo. Lakini Mkuu si unajua mpaka kuwa foreign minister lazima awe kipepeo kweli kweli. Alikula kiapo kikali mno. Unakumbuka issue ya Balozi Juma Mwapachu kule zanzibar alipokihama chama chenu na kwenda CUF 2010? Nini kilimkuta?? Kuna nafasi zingine za kiserikali ukishajiunga humo inabidi uchague. Upoteze uhuru wako au uachane nazo ulinde uhuru wako.Kama kuna Mtanzania ambaye huwa simwelewi Bernard Membe ni Mimi GENTAMYCINE na nashangaa ilikuwaje Yeye kuwa Foreign Minister Wetu.
Mambo mengine ni classified , yaache kama yalivyo
Katika watu hopeless ni huyu Membe, sijui Kikwete alimtoa wapi.Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo Bernard Membe ametoa muda wa mwisho kuanzia leo, kuachiwa kwa msaidizi wake Jerome Luanda ambaye ametekwa na watu wasiojulikana na kusema wasipo muachia, kesho ataweka kila kitu hadharani kuhusiana na tukio hilo.
ITV Tanzania
Ninachojua tu ni kwamba ukiona Mtu yoyote anajifanya ana 'Siri' fulani ila hataki kuitoa na anapiga tu 'Mikwara Mbuzi' jua hana anachokijua kabisa!
Mnampa sifa za bure eti Jasusi mbobezi!!! Jasusi gani anadukuliwa kindezi!Membe bwana unalitendea haki jina lako Jasusi Mbobezi(kachero) bora ulivyowawahi isije wakamua au kumtesa wasiojulikana
membe rudi ccm,HAUZIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIMembe hana mvuto; angeweka nguvu zaidi huko kwao kusini na kukomaa na siasa za Korosho pengine zingemfikisha mahala! Hivi sasa anaonekana kama amechanganyikiwa.
Huyu alikuwa na jeuri akizania CDM watafanya upuuzi Kama wa 2015!!! Ndio maana unaona ananongwa mpaka na TL. Alitegemea nguvu ya ukawa na ndio maana Zk alikuwa anasisitiza upinzani kuungana akijua atamwaga PESA but wamefeli.
Wewe hata kama unasaka uteuzi sidhani kama mtukufu atakupa uteuzi kwani amekugundua huna unachokijua zaidi ya kuisha kwa zidumu fikra zisizo za mwenyekiti wa CCMHana uwezo wa kunuka! Membe ni kama Lissu tu!
Alituambia ana watu 6 wazito watamfuata, matokeo yake jana kalia hawana hela mfukoni.
Wewe huwa unapinga vyote vya wapinzani hata waje na nini utapinga, kibaya zaidi wewe unaunga mkono vitendo vya hovyo vya kishetani kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani kuwapora ushindi kwenye chaguzi unyanyasaji uonevu mwingi usio na tijaKwani membe ana wasaidizi wangapi ambao kutwa husingiziwa kutekwa ona mwingine huyu
Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’
ingekuwa ni saccos msingetumia gharama kubwa kuwadidimiza kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwahujumu kuwadhoofisha mngeacha wajifie wenyeweWewe acha hizo saccos wameshindwa hata kuweka bango hata moja kwa kuwa pesa za wabunge walizochanga Faru John na genge lake walizipiga sasa wanasubiri 25% waletewe na mabeberu lakini yameshituka yanaenda kwa uangalifu sana!! Dar imezizima Rais Magufuli tuu kila kona! Msaliti Lissu aliabika sana Dar.