Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hata kelele za ‘twende na Membe’ zimezima sasa.Lissu amem-block ...” bati haliwezi kung’aa katikati ya dhahabu na almasi”
Ndio ujue Watanzania ni watu wa mikumbo kama vile hawamuoni siku hiziHata kelele za ‘twende na Membe’ zimezima sasa.
Watz ni kama wasanii na followers wengi Instagram na ukitangaza show support kama lote hivi sasa siku ya show ndani ya ukumbi hutaamini macho yako watakao kuja ni kutoka gwambina wala sio insta na hawajawahi jiunga insta...Ndio ujue wa-tz ni watu wa mikumbo kama vile hawamuoni siku hizi
Magufuli ana faida ya kuwa mgombea wa chama kilicho madarakani.Lissu akienguliwa, huyo ndio mgombea.
Atabebwa na support ya chama.
Mbona Magufuli amepauka sana, lakini alishinda au kushindishwa?
Kabisa!Nakubaliana na wewe. Membe ni heri hata angegombea Zitto! Hana hoja kabisa za kuteka hisia
Akiwa anaongea unamwona kabisa anatafuta maneno ya kuongea ambayo yatapokelewa kwa shangwe na hadhira yake, lakini wapi!Nilimuona juzi Zanzibar wakiwa na maalim,, Jamaa kalegea sana hadi anatia huruma
Hhahahaaa,, mkuu umenichekesha sanaMembe ni Lowasa aliyechangamka
Mange Kimambi yalimkuta haya .... dada hatutakuangusha ... wengine wakatengeneza home made gas-mask ...siku ya siku barabara nyeupeeeeeee... wakarudi ooo tumeshinda wameandamana wao badala yetu .... 😂Watz ni kama wasanii na followers wengi Instagram na ukitangaza show support kama lote hivi sasa siku ya show ndani ya ukumbi hutaamini macho yako watakao kuja ni kutoka gwambina wala sio insta na hawajawahi jiunga insta...
Membe na lissu wataponzwa na siasa za mitandaoni. Wapiga kura sio wajinga.