Uchaguzi 2020 Bernard Membe hana kabisa mvuto!

Uchaguzi 2020 Bernard Membe hana kabisa mvuto!

Mkuu, Kwanini umemlimganisha Lissu na Membe ? Hukupaswa hata kufanya hivo na hatuwezi kumlazimisha watu wafanane. Membe ni mwanasiasa kwa definition tu ila Lissu ni mwanasiasa hasa, Membe kazi zake alizowahi kufanya hata haziendani na uongeaji wa kisiasa so hivo alivyo ni sahihi
 
Hii Ina maana kwamba hata Chadema tu waliona kabla kuwa Member hastahili nafasi ya Lisu, And among many Tanzanians, ndivyo huwa inavyokuwa wakati wa kupiga kura.

Utashangaa CCM inashinda kwa kura za ✓ openly kabisa hata ingekuwa kwa kuhesabiwa mbele ya ushahidi wa CCTV
 
Hili game linaenda kama halitaki kuanza ila tutakuja kujaza server hapa hapa kwa mabandiko, simba akitembea kwa upole unatakiwa kuwa makini na akili ijiulize.
 
Akiwa anaongea unamwona kabisa anatafuta maneno ya kuongea ambayo yatapokelewa kwa shangwe na hadhira yake, lakini wapi!
Jamaa kapoaa,, kama kuna watu wake humu na wamfikishie hili! Bado hajaweza kutawala jukwaa.
.
.
Arejee platform skills
 
Li
Ngumu now kuwa judge wagombea wa upinzani since hata media zinawaogopa..

Charisma ..Lissu Yuko juu hata ya Magufuli.

Magufuli ana advantage ya 'machinery'.. behind
Lissu ni angel of death 💀... Dola inalijua hilo ndio mana hawam-face ... wanachokifanya wanamzunguka wanamnyoa mbawa mwisho wa siku ashindwe kuruka mbinu adhimu sana inatumika kumtuliza huyu bwana mkubwa
 
No wonder nchi hii ilikumbwa na mambo ya ajabu sana awamu iliyopita. Sasa huyu alikuwa mmoja wa waandamizi wa juu wa Taifa hili, na sikia mwenyewe alijinasibu "the beloved..."Hapo hilo kusanyiko hawafiki hata 3,000. Kwa kifupi hawazidi wale waombolezajii waliopita mbele ya jeneza pale kijijini lupaso walikuwa zaidi 11,000.

Siasa za uchaguzi na kura ni siasa za tarakimu, hapo wako kwenye strong hold yao. Ndio maana wakishindwa wanakimbilia kwenye pori pendwa la kuwa wamechakachuliwa. Wapemba wa watu wataandamanishwa weeee! Baadaye wanaaminishwa kuna kesi the hague mara uchaguzi mwengine huo. Kazi iko, kazi iko!!!
 
mkuu,kwanini umemlimganisha Lissu na Membe ?. hukupaswa hata kufanya hivo na hatuwezi kumlazimisha watu wafanane.membe ni mwanasiasa kwa definition tu ila Lissu ni mwanasiasa hasa,membe kazi zake alizowahi kufanya hata haziendani na uongeaji wa kisiasa so hivo alivo ni sahihi
Wala silazimishi watu wafanane.

Nazungumzia tu nikionacho kwa macho yangu na nikisikiacho kwa masikio yangu.
 
Magufuli ana faida ya kuwa mgombea wa chama kilicho madarakani.

Ili kukiondoa chama kilicho madarakani, hususan katika mazingira yetu ambayo hayatoi fursa sawa, inahitajika kuwepo na hamasa kubwa sana.

Ili kuwepo na hamasa kubwa, ni lazima mgombea/ mshindani mkuu wa Rais aliyepo madarakani awe na uwezo wa kuwahamisha watu kwa kiwango cha juu kabisa.

Siasa ni hisia, pia.

Membe haamshi hisia za watu kama ambavyo Lissu anaweza.
Now days, unatema points sana aisee. Big up
 
TOFAUTI Membe anajaribu kutafakari anchotaka kusema ndo maana unaona hana mvuto na Lissua anaropoka lolote linalokuja kinywani bila kujali ndio linalo kuvutia.
Lissu anawatesa sana wa kijani, now mpo kama mmenyeshewa mvua, kila mnapogusa hapashikiki. Mrudisheni Nape, naye kwa sababu kazibuka ataweza kushindana na Lissu. Polepole yeye analialia tu kwenye media.
 
pia Membe mwanadiplomasia wanafanya kazi kwa mazungumzo baridi na Lissu ni mwasheria bila shaka unaijua shughuli ya mahakamani.
Sidhani kama fani unahusiana na chochote hapo!

Siyo kila mwanasheria ana uwezo wa kuzungumza kama Tundu Lissu!

Mfano mzuri ni Shangazi/ Fatma Karume.

Ushawahi kumsikia akiongea huyo shangazi?

Unaweza ukamlinganisha Shangazi na Zitto? Au Shangazi na Mbowe?
 
Back
Top Bottom