Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Membe si public speaker mzuri.TOFAUTI Membe anajaribu kutafakari anchotaka kusema ndo maana unaona hana mvuto na Lissua anaropoka lolote linalokuja kinywani bila kujali ndio linalo kuvutia.
Membe bora arudi tuuu CCM. Huko anajilisha upepo.
Jamaa kapoaa,, kama kuna watu wake humu na wamfikishie hili! Bado hajaweza kutawala jukwaa.Akiwa anaongea unamwona kabisa anatafuta maneno ya kuongea ambayo yatapokelewa kwa shangwe na hadhira yake, lakini wapi!
Lissu ni angel of death 💀... Dola inalijua hilo ndio mana hawam-face ... wanachokifanya wanamzunguka wanamnyoa mbawa mwisho wa siku ashindwe kuruka mbinu adhimu sana inatumika kumtuliza huyu bwana mkubwaNgumu now kuwa judge wagombea wa upinzani since hata media zinawaogopa..
Charisma ..Lissu Yuko juu hata ya Magufuli.
Magufuli ana advantage ya 'machinery'.. behind
Nilicheka sana siku ile 🤣🤣Mange Kimambi yalimkuta haya .... dada hatutakuangusha ... wengine wakatengeneza home made gas-mask ...siku ya siku barabara nyeupeeeeeee... wakarudi ooo tumeshinda wameandamana wao badala yetu .... 😂
Haha eti hana mvuto, ni ukweli mtupu, hajawahi kunivutia kabisaHata kelele za ‘twende na Membe’ zimezima sasa.
Ataomba radhi na kurudi ccm January 2021....Membe bora arudi tuuu CCM. Huko anajilisha upepo.
Lissu anachokitaka na Membe ni vitu viwili tofauti ... sijui wamemuahidi sh ngapi mpka akubaliDuh...!, sasa itakuwaje?, maana huyu ndiye mgombea wa pamoja!. TL ni pace maker tuu!.
P
Wala silazimishi watu wafanane.mkuu,kwanini umemlimganisha Lissu na Membe ?. hukupaswa hata kufanya hivo na hatuwezi kumlazimisha watu wafanane.membe ni mwanasiasa kwa definition tu ila Lissu ni mwanasiasa hasa,membe kazi zake alizowahi kufanya hata haziendani na uongeaji wa kisiasa so hivo alivo ni sahihi
Now days, unatema points sana aisee. Big upMagufuli ana faida ya kuwa mgombea wa chama kilicho madarakani.
Ili kukiondoa chama kilicho madarakani, hususan katika mazingira yetu ambayo hayatoi fursa sawa, inahitajika kuwepo na hamasa kubwa sana.
Ili kuwepo na hamasa kubwa, ni lazima mgombea/ mshindani mkuu wa Rais aliyepo madarakani awe na uwezo wa kuwahamisha watu kwa kiwango cha juu kabisa.
Siasa ni hisia, pia.
Membe haamshi hisia za watu kama ambavyo Lissu anaweza.
Wala silazimishi watu wafanane.
Nazungumzia tu nikionacho kwa macho yangu na nikisikiacho kwa masikio yangu.
Kwa hiyo Bw. Pasko unachokisema ni kwamba Tundu Lissu atakuwa disqualified eh?Duh...!, sasa itakuwaje?, maana huyu ndiye mgombea wa pamoja!. TL ni pace maker tuu!.
P
pia Membe mwanadiplomasia wanafanya kazi kwa mazungumzo baridi na Lissu ni mwasheria bila shaka unaijua shughuli ya mahakamani.Membe si public speaker mzuri.
Hana uwezo mkubwa wa kujenga hoja.
Hana sauti ya kumvuta msikilizaji.
Lissu anawatesa sana wa kijani, now mpo kama mmenyeshewa mvua, kila mnapogusa hapashikiki. Mrudisheni Nape, naye kwa sababu kazibuka ataweza kushindana na Lissu. Polepole yeye analialia tu kwenye media.TOFAUTI Membe anajaribu kutafakari anchotaka kusema ndo maana unaona hana mvuto na Lissua anaropoka lolote linalokuja kinywani bila kujali ndio linalo kuvutia.
Sidhani kama fani unahusiana na chochote hapo!pia Membe mwanadiplomasia wanafanya kazi kwa mazungumzo baridi na Lissu ni mwasheria bila shaka unaijua shughuli ya mahakamani.