Uchaguzi 2020 Bernard Membe hana kabisa mvuto!

Lissu anawatesa sana wa kijani, now mpo kama mmenyeshewa mvua, kila mnapogusa hapashikiki. Mrudisheni Nape, naye kwa sababu kazibuka ataweza kushindana na Lissu. Polepole yeye analialia tu kwenye media.
Kumbuka urais haupatikani kwa kupiga kelele pia, kama ingekuwa hivyo mtikila angeshakuwa rais, Mungu amrehemu.
 
Kikwete anawazidi wote Lissu, Magufuli,Membe..

Charisma na mvuto Tz since independence ni Nyerere na Kikwete

Waliosalia wote wanababia babia
Lowassa ndio hana mpinzani kwa Charisma. Yeye anapanda jukwaani anasema maneno matatu tu Elimu, Elimu, Elimu, ila shughuli yake si mchezo. Charisma yake hadi ilisababisha CCM washindwe kuiba kura Zanzibar, nguvu yote waliweka bara kupambana na mzee wa elimu
 
Mvuto? Mwanaume mwenzako? So homo
 
Kikwete anawazidi wote Lissu, Magufuli,Membe..

Charisma na mvuto Tz since independence ni Nyerere na Kikwete

Waliosalia wote wanababia babia
Kweli kabisa!

Communication skills za Kikwete, hususan kwa lugha ya Kiswahili, ziko underrated.

Binafsi napenda sana kumsikiliza. Kiswahili anakimudu vizuri sana.

Sijui kama watu wengi wameliona hilo...
 
nimeshawahi kumsikia mara kadhaa na nathubutu kusema wanafanana sana na hao uliotaja tofauti yeye anasauti nyepesi ya kike, sina maana ya ubaguzi wa jinsia lakini.
 

Yes na Lowassa..
Nyerere
Kikwete
Lowassa

Nasikia na Kambona sina uhakika..
Hata Malecela alikuwa na charisma
Nyerere
Lowassa
Kikwete
Malecela..
 
nimeshawahi kumsikia mara kadhaa na nathubutu kusema wanafanana sana na hao uliotaja tofauti yeye anasauti nyepesi ya kike, sina maana ya ubaguzi wa jinsia lakini.
Fatma Karume ni mzungumzaji mzuri?

Aisee!!!!!!!!!!!
 
Kweli kabisa!

Communication skills za Kikwete, hususan kwa lugha ya Kiswahili, ziko underrated.

Binafsi napenda sana kumsikiliza. Kiswahili anakimudu vizuri sana.

Sijui kama watu wengi wameliona hilo...

Mzee Malecela pia ana sauti ya mamlaka.
Hata English Malecela ndo level za Mkapa..
 
Lissu akienguliwa, huyo ndio mgombea.
Atabebwa na support ya chama.
Mbona Magufuli amepauka sana, lakini alishinda au kushindishwa?
Akienguliwa na nani? Mbona mnachomeka ndoto zenu za alinacha?
Muengue Lissu nchi igeuke DRC na huyo anaye yachochea hayo yamkute ya yule wa Ivory Coast.
 
Msiwe na wasiwasi atatia timu na kuunga nguvu tungushe mnazi kirahisi.
 
Akiwa anaongea unamwona kabisa anatafuta maneno ya kuongea ambayo yatapokelewa kwa shangwe na hadhira yake, lakini wapi!
Kabisa. Tofauti na Lissu hatafuti kushangiliwa Bali anajikuta anatafuta njia ya kuwanyamazisha waendelee kumsikiliza na kumuelewa atakavyo.
Na linalomsaidia sana Lissu ni kuwa anazungumza analoliamini na hatengenezi uongo kutafuta makofi
 
Akienguliwa na nani? Mbona mnachomeka ndoto zenu za alinacha?
Muengue Lissu nchi igeuke DRC na huyo anaye yachochea hayo yamkute ya yule wa Ivory Coast.
View attachment 1534223
Huyu askari alikuwa anampigia saluti huyo rais, lakini ona sasa yanayotendeka. Kweli ukiwa madarakani heshimu wananchi wako sana.
 

Mkuu Naomba kuuliza kwa adabu sana. Hivi kweli kwa watanzania tunavyoweza kuongea na degree za maneno bila vitendo, tunahitaji kweli wapiga kelele au watendaji. Nyerere alishamaliza hotuba Zote Sasa Tz na mazingira yake hayahitaji tena waropokaji. Tunahitaji mental revolution in relation na maisha yetu ya kupenda kufanyiwa zaidi ya kufikiri na kufanya. Nimejikuta naweza kupika chapati hata kama ngumu Lakini you Tube imenisaidia. Do I need to fly back to Tz. Ili nimpate mwalimu wa kunifunza upikaji chapati? Je gharama za nauli toka hapa mpaka Tz. Euro 600-1000 kwa chapati tu.

Kipimo kitabaki utendaji. Mtaniambia hapa tarehe 1.11.2020. by the way Membe sio tu hana mvuto Bali utendaji Wake hauna sauti. JPM bis 2025. baada ya Hapo tuone kama Kuna Mtendaji mwingine asiye na aibu ya wazi na mthubutu.
 
Before ilikuwa twende na Membe kachero mbobezi leo hana mvuto.

Hii dunia iache tu hata huyu wanamshabikia kwa kale kamsemo tu kuwa.....

Mbona ilikuwa wazi kuwa wenye kampeni ya twende na Membe ilikuwa ni kuchochea kuni ili kuwe na mpasuko huko ccm? Na wapinzani hasa cdm walisema wazi iwapo Membe atashindwa huko ccm asipokelewe kama Lowassa, maana hawakuwa tayari kurudia tena kosa la 2015. Usitake kugeuza geuza maneno, kuonyesha kama kuna mtu alikuwa anababaika na huyo taka ngumu ya ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…