Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Hatoki mtu hapa kwenye kinyang'anyiro cha Urais. Septemba 15 kinaanza kimbunga kumbakumba

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Hatoki mtu hapa kwenye kinyang'anyiro cha Urais. Septemba 15 kinaanza kimbunga kumbakumba

Libya

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
790
Reaction score
1,968
HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumbakumba! Watanzania kaeni chonjo!

Membe.JPG
 
HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumba-kumba! Watanzania kaeni chonjo!
Ni jambo jema!
 
Wapi source?

Bila source tegemea habari kama hizi tokea kwa maafisa vipenywa wa daraja za chini tu.
 
Sioni kwanini Membe amuunge mkono Lisu. Hawa watu wa ccm ndio huwa wanavuruga upinzani. Nimefurahi sana yeye kugoma kumuunga mkono Lissu, maana huko mbele ya safari ndio huwa wanaingia kwenye vikao vya siri vya chadema na kujifanya ni washirika wa upinzani, kumbe ni mashushu uchwara wa CCM.

Mtu kaitumikia CCM zaidi ya miaka 40 leo mnataka awe sehemu ya upinzani!

Hata huko Zanzibar anayeungwa mkono na CHADEMA ni Maalim Seif, kwakuwa ni mpinzani wa kweli na sio chama cha ACT.
 
Back
Top Bottom