Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Hatoki mtu hapa kwenye kinyang'anyiro cha Urais. Septemba 15 kinaanza kimbunga kumbakumba

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Hatoki mtu hapa kwenye kinyang'anyiro cha Urais. Septemba 15 kinaanza kimbunga kumbakumba

Mpaka October 28 mpasuko utakuwa umeidhinisha mgombea fulani kutangazwa kupita bila kupingwa!
 
Membe anakura nyingi za CCM kwa tunaoona mbele kuliko za ACT cause Kama shangazi ni ACT na anamuunga mkono Lissu hivyo Kuna wengine wapo ACT wanaunga mkono CHADEMA hivyo CCM tusishangilie hili la Membe.
 
Sioni kwanini Membe amuunge mkono Lisu. Hawa watu wa ccm ndio huwa wanavuruga upinzani. Nimefurahi sana yeye kugoma kumuunga mkono Lisu, maana huko mbele ya safari ndio huwa wanaingia kwenye vikao vya siri vya cdm na kujifanya ni washirika wa upinzani, kumbe ni mashushu uchwara wa ccm. Mtu kaitumikia ccm zaidi ya miaka 40 leo mnataka awe sehemu ya upinzani! Hata huko Zanzibar anayeungwa mkono na cdm ni Maalim Seif, kwakuwa ni mpinzani wa kweli na sio chama cha ACT.
Mbona hata sasa hivi wapo tu hapo Makao Makuu ya Saccos? Hukuona juzi walivyokuwa wanaraluana kwenye group lao?! Na bado kadri muda utavyokuwa unaendelea ndiyo tutasikia mengi sana! Keep watching!!
 
Hilo liko wazi mbona... Kazi ya kuibomoa ACT Wazalendo itakamilika baada ya uchaguzi!. šŸ¤”
 
Mbona hata sasa hivi wapo tu hapo Makao Makuu ya Saccos? Hukuona juzi walivyokuwa wanaraluana kwenye group lao?! Na bado kadri muda utavyokuwa unaendelea ndiyo tutasikia mengi sana! Keep watching!!

Wapo wengi wala hilo halina ubishi, ila sio hao wa wazi kama Membe. Ule utoto wa majibizano ya kipuuzi kwenye group fake ndio unategemea mtamuuzia mtu? Kweli mna mbinu za kizee ile mbaya.
 
Lisu meseji Hiyo umeipata ? Inakuhusu wewe na Chadema wenzio
lissu na chama chake wanajua wanachokifanya , ACT wanajua wanachokifanya so membe hawezi kuwa juu ya tahasisi hata kama mwamuita nguli kwenye mambo flani , japo nayo ni fani tu kama zilivyo fani nyingine mfano upadri, jeshi, dr, walimu na kazi, namanisha hakuna jipya chini ya jua ni yaleyale katika utumishi tofauti na majukum tofauti, so ndo maana taifa lazima lijenge misingi ya kuheshimiana kwa maana wote twategemeana, asema bwana na imekua
 
HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumba-kumba! Watanzania kaeni chonjo!
Anajifanya mtaalam wa kuleta moshi !!
Safari hii utamkumba yeye na familia yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wengi wala hilo halina ubishi, ila sio hao wa wazi kama Membe. Ule utoto wa majibizano ya kipuuzi kwenye group fake ndio unategemea mtamuuzia mtu? Kweli mna mbinu za kizee ile mbaya.
Safi sana kama unaona ni fake lakini maboss wako wa saccos wanajua siyo fake. Hizo sms wanazo kwenye group lao na wanajua wameingiliwa!
 
Huyu jamaa asiporudisha majeshi CCM baada ya uchaguzi sijuiii! Walikuja kina Lowassa, Sumaye na wengineo wote walirudi chama cha mashetani, muda utaongea.

Atakayeiongoza hii nchi ni mpinzani OG sio wa kuhamia.
 
Dharau mbaya hiyo.Yaani akili yake inamtosha kuvuka barabara tu.!
Mtu anaesema yeye anamzidi nguli wa sheria Tundu Lisu. Mtu aliethibika bila shaka kuwa ni mwamba kwenye hiyo fani unaona ana akili za kumtosha?
 
Back
Top Bottom