Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Na hicho ndicho kimefanya nikujibu hivyo.Siasa ni Sayansi na Sayansi is all about logics bwa mdogo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hicho ndicho kimefanya nikujibu hivyo.Siasa ni Sayansi na Sayansi is all about logics bwa mdogo!!
Membe is overrated.
Kibaraka tu huyo atupisheMgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo ambaye hapo kabla alikuwa mwanachama wa CCM Bernard Membe ametema nyongo baada ya maneno kuwa mengi yakimtaka aachie nafasi ya kinyang'anyiro cha urais na kumuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya Chadema Tundu Antipas Lissu ambaye amemuunga mkono mgombea wa ACT upande wa Zanzibar Maalim Seif Shalif Hamad.
Kupitia maneno kuwa mengi leo shushushu mbobezi kama wanavyomuita amefunguka na kusema "HATOKI MTU HAPA!"
View attachment 1564225
"wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumba-kumba! Watanzania kaeni chonjo!"
Maneno hayo yanaonyesha kuna kitu kikubwa ambacho wafuatiliaji wa siasa za ndani hasa kipindi hiki cha uchaguzi wanasubiri kwa hamu na kutaka kujua kulikoni!.
Aidha ni wale vigogo/vizito zaidi ya saba ambao aliahidi wanaondoka CCM na kwenda kumpa nguvu pale alipo au ni kitu gani kipya kinaenda kukumba kampeni hizi nzito za mwaka huu 2020!.
ukiona choo ndotoni usikitumieKuna game linatengenezwa ambalo ndiyo kaburi rasmi ya CCM before 28th October.
Stay turned... kauli ya Lissu Zanzibar na ukimya wa ACT si mwa bahati mbaya
Tulia bwa mdogo, usijifunzie siasa JF.ukiona choo ndotoni usikitumie
Nakuelewa mkuu ngoja tusubiri ni kesho tu...Kuna game linatengenezwa ambalo ndiyo kaburi rasmi ya CCM before 28th October.
Stay turned... kauli ya Lissu Zanzibar na ukimya wa ACT si mwa bahati mbaya
Kaza buti twende baba.HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumbakumba! Watanzania kaeni chonjo!
Tundu na wafuasi wa CHADEMA ndio wanalialia Membe awasaidieSioni kwanini Membe amuunge mkono Lisu. Hawa watu wa ccm ndio huwa wanavuruga upinzani. Nimefurahi sana yeye kugoma kumuunga mkono Lissu, maana huko mbele ya safari ndio huwa wanaingia kwenye vikao vya siri vya chadema na kujifanya ni washirika wa upinzani, kumbe ni mashushu uchwara wa CCM.
Mtu kaitumikia CCM zaidi ya miaka 40 leo mnataka awe sehemu ya upinzani!
Hata huko Zanzibar anayeungwa mkono na CHADEMA ni Maalim Seif, kwakuwa ni mpinzani wa kweli na sio chama cha ACT.
Kimbunga gani? Hiki ndio kimbunga?HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumbakumba! Watanzania kaeni chonjo!
Bahati nzuri Membe ana sura nzuri Mashaallah lau kana sura yake imeanza kusawajika na kupoteza nuru siku za hivi karibuni ila Bahati mbaya sana Membe huyohuyo hana mvuto kabisa wa kisisasa.Jina lake lilivyokuwa linavuma kwa siku nyingi ni tofauti kabisa na mtu mwenyewe alivyo kwa sasa. Inawezekana huyu siyo mwanasiasa kabisa ila mtu wa kukaaa ofisini tu . Hata kama kuna mtu aliyembeba miaka yote hiyo katka utendaji wake ninampongeaza sana.
Tundu na wafuasi wa CHADEMA ndio wanalialia Membe awasaidie
Kwani wapi Lissu amemwambia ajitoe? Lissu anawajambisha sana maccm from top to bottom.Lissu meseji Hiyo umeipata ? Inakuhusu wewe na Chadema wenzio