Uchaguzi 2020 Bernard Membe is a real deal. Membe for president!

Uchaguzi 2020 Bernard Membe is a real deal. Membe for president!

Membe atajuta. Huyu jamaa huwa hasamehi
 
Opposition should never repeat the past mistake of trusting this desperate guys for any position in the party. If he was serious then he should have joined the opposition before he was kicked out of the ruling party
 
This is nonsense. I will vote for JPM inorder to accomplish the tasks he has already started
 
Tume ikiwa fear Membe anapita kama mshale huyu ataachwa na uchumi wake wa kati mwenye nyumba za tembe
 
Kwanza Membe arejeshe zile bil 20 ndiyo haya ya 2020 tuyazungumze
 
We are giving Jiwe matching orders inadvance. He should leave the office at once and ASAP. Membe MUST be president at all cost come morning comes eventing come rain comes sunshine for the betterness of national importance...
Jirani ni balaa. I hate Membe but at the moment I hate Magufuli more than Membe. Wapinzani wakiweka tofauti zao pembeni wakaweka mgombea mmoja hata kama asipokuwa Membe. I tell you Magufuli atakuwa kwenye side mbaya sana.
 
Wapiga kura ni waswahili lakini waraka wa kumpigia chapuo membe upo kwa kingereza.
 
Opposition should never repeat the past mistake of trusting this desperate guys for any position in the party. If he was serious then he should have joined the opposition before he was kicked out of the ruling party

There are people in CCM who are fit to be in the opposition because they challenge this regime from within and there are people in the opposition who are fit to be in CCM, they are too opportunistic.

Membe has stood up to be counted, he has taken the bull by its horns, he has spoken his mind with no fear, and he has shown that all his thinking is the nation at heart and for the best interest of this nation.

So it is proper the opposition to trust honorable Membe.

He is courageous and visionary
We democracy and human rights loving people can't wait to see honorable Membe participating on the ballot as a candidate pursuing a noble course to oust this failed, bizzare, inhumane regime!
 
Naona watu mnakula pesa kuja kupoteza mda humu.

Kuleni bana kila mtu na nafasi yake.

Membe bhana.. anatumia waandishi wa kimataifa Kama DW na waandika kinge Kama wewe wakati Kura ziko huku Nanjilinji na Busokelo na Namtumbo.

Rondo hata hawaijiu DW. Pesa zake zaenda bureee kabisa.
 
Membe muchague awe rais wa familia yako. Tuache na Rais wetu Magufuli.
 
Jirani ni balaa. I hate Membe but at the moment I hate Magufuli more than Membe. Wapinzani wakiweka tofauti zao pembeni wakaweka mgombea mmoja hata kama asipokuwa Membe. I tell you Magufuli atakuwa kwenye side mbaya sana.

😂😂😂😂umemchukia Magu kuna sehemu walibinya masirahi nini? Maana sio kwa kubadilisha gia angani kiivyo wewe pamaoja na britanica.
 
Back
Top Bottom