Uchaguzi 2020 Bernard Membe is a real deal. Membe for president!

Kashafanya Nini Cha kukumbukwa Kama kiongozi tangu azaliwe?
Membe hana chochote zaidi ya kujifaragua tu katika kipindi chote cha uwaziri sijawahi kumuona Membe kama stateman zaidi ya kuwa mlamba miguu ya Kikwete ili aendelee kuwa waziri.

To me Membe is a liability not an asset.
 
Hivi huko upinzani mna Zitto,Tundulisu kisha mnahangaika na Membe kiukweli muda mwingine upinzan huwa siwaelewi.Simamishen mgombea mmoja either Tundu Lissu au Zitto Kabwe muachane na hao wanaotoka CCM.
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu alisha sema kuanzia sasa hadi October ni parefu lolote laweza tokea huyo ndiye Membe.
 
Membe ni kama Lowassa 2015, yuko kuwachezesha shere wapinzani. After election you won't hear him say anything, and after few months atarudi 'home'
 
Eti Membe “must be president at all costs..”. Watu mna matani ya rejareja. Membe huyuhuyu wa enzi za “dhaifu”?
 

Tukiendelea kumvumilia aliyepo hali ya demokrasia yetu itakuwaje?, Ataiua kabisa, maana huyu anataka udikteta nchini

Bora tumchallenge tuwaache wananchi waamue kwani shida ni nini?
 
Membe ni raia huru ana haki ya kujiunga chama chochote cha siasa
Sawa, lakini hakuna haja ya ku recycle watu toka CCM ambao takwa lao kubwa ni kuwa Rais lakini hawajawahi kujionyesha kukerwa na matatizo makubwa ya nchi hii, kama rushwa ya viwango vikubwa, ukandamizaji wa haki za raia, kupigwa risasi kwa mbunge, uzuiaji wa vyama vya upinzani kufanya shughuli za kisiasa n.k. Lisu au Zitto wanatosha. Kama anataka kujiunga na chama cha upinzani, sawa ila asiwe presidential candidate.

Bado tunasubiri maelezo yake alioahidi ya faida ya safari nyingi za JK nje ya nchi.
 
Membe ni CCM na CCM ni Membe hakuna jipya hapo.
 
Hivi huko upinzani mna Zitto,Tundulisu kisha mnahangaika na Membe kiukweli muda mwingine upinzan huwa siwaelewi.Simamishen mgombea mmoja either Tundu Lissu au Zitto Kabwe muachane na hao wanaotoka CCM.
Hakuna cha upinzani wala cha chama tawala kwa sasa kuna emergency inayohitaji kila mtanzania kuchagua baina ya ukandamizaji huu uliopo uendelee au unafuu. Kwa maana hii ni kwamba anything is better but Mkulu kwa sasa!
Hali ya uongozi tulionayo Tz. kwa sasa, hatofautiani sana na ya US, kwa sasa kipaumbele cha wamarekani wengi ni kwamba Trump atoke white house. Hivyo hivyo hapa Tz sasa hivi tuna emergency... nayo ni kuhakikisha huyu jamaa harudi! kwa maana kwamba anything is better but him!
Tanzania kwanza, madoido baadae!
 
Rudia kuandika kwa kiswahili ili wengine tuelewe
 
Which country are you referring as Tanzania, and which president with name Magufuli are you referring? If it is the same Tanzania (the United republic) and the Magufuli (Dr. John Joseph Pombe Magufuli)...then you are talking and writing rubbish, and you don't have any clue to how embraced to the ❤️ of Tanzanian is the president Magufuli is!
 

Wewe umrongea point kubwa sana.
Jukumu la awali ni kuhakikisha huyu anayetuvurugia demokrasia yetu na kutoheshimu sheria za nchi na kuongoza nchi utafikiri familia yake anaong'oka, hiyo ndo priority kwa sasa.

Nchi hii leo imegeuka ya kufungiafungia kila sauti huru inayotoa mawazo mbadala, hata JF tulishawahi kufungiwa kwa muda wa miezi miwili, magazeti kama Tanzania Daima yanafutiwa leseni, Wanasiasa wa upinzani kesi mahakamani haziwaishi.

Sasa katika hali kama hiyo tunawezaje kumuongezea Magufuli miaka mingine mitano?, tutakuwa na majira ya namna gani tukifanya hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…