Bernard Membe: Kuna umuhimu wa kufanya vetting kwa viongozi wetu kuhusu uraia na afya zao

Corona is really. Acha kujijaza ujinga.

 
Mataga muda wenu umekwisha, kaeni kwa kutulia. It is over.
 
Aidan Eyakuze, Severine Niwemugizi, Zacharia Kakobe, Kabendera na wengi wengi waliohojiwa uraia wao wakati wa utawala wa jiwe. Acha unafiki.
 
Kifupi Membe hajielewi Nyerere alileta Uhuru na siasa za ujamaa alipoona mmm ukomunisti na serikali za ujamaa zinaanguka na Nchi inaelekea kufa kiuchumi akaamua kujiuzulu ohh nangatuka kulinda legacy na heshima yake mapema kabla watu kuingia mitaani kumzomea kwa maduka kukosa bidhaa hali ngumu ya maisha ,mafuta Hakuna bidhaa muhimu hata sukari Hamna akatoroka ohh nangatuka akambwagia Zigo la uchumi Raisi Mwinyi hazina ikiwa nyeupe ndio Mwinyi aka turn around uchumi

Membe Ni obsolete bila kujali kakaa CCM miaka mingapi abaongelea vitu hopeless et ohh Polisario ohh Palestine Yuko so obsolete

Nchi za kusini mwa Afrika tumemwaga damu zetu kuwakomboa lakini tumefaidi Nini? Wakenya ndio wanafaidi visa free na hawasumbuliwi na hawakukaa msitari wa mbele nenda mtanzanzia Zimbabwe hata Mozambique hapo tu utanyanyashwa Hadi Basi.
Shukrani zero Hakuna Cha Polisario Wala Palestine Wala south Africa

Sasa hivi Ni diplomasua ya uchumi tu
 
Hawa wazee wamechoka akili hopeless tu
Hakuna la maana anaongea porojo tuna vijemve, hizi post walipata KWA favour tu
 
Hata ndugu yenu nae alikuwa na uroho wa madaraka ndo Mana uchaguzi ulikumbwa na makando kando ili atawale milele , lakini Mungu si wewe.
 
Mkuu britanicca , ni wewe ndio ulikaa na kachero mbobezi ukamweleza kumhusu yule jamaa yetu?.
“Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini.
Kuna watu wana dhambi!, hawaheshimu hata watu ..., huu sio utu!, huwezi kumsema mtu ambaye hawezi kujitetea!. Huyu Kachero mbobevu ni muflis kabisa!.
Tusipoangalia unaweza ukajikuta una kiongozi hana damu ya u-Tanzania,
Hili niliwahi kushauri, nikalaumiwa sana,
Unajiuliza, tabia hii ni ya Watanzania kweli? Tangu lini mwandishi wa habari anatoweka?
Huyu kachero mbobevu aitwe kuhojiwa, anamaanisha ni naniliu ndio alimpotezea Ben Saanane na Azory Gwanda!. Hii ni dhambi kubwa kumsingizia....
“Tusipofanya vetting ya viongozi kiafya tunaweza kuwa na watu wa magonjwa ya akili.
P
 
Membe alichanganyikiwa sana na bado anahitajika chumba cha uangalizi maalumu!
Huyu Membe ukifuatilia kwa makini utaona naye anahitaji sana kufikishwa Milembe kwa checkup zaidi!

Kubishana na kuilalamikia maiti ni jambo la kustaajabisha kuwahi kutokea chini ya jua ikiwa mtu ana akili timamu.
 
Kingine kuhusu kuki diss chama kwa mfano Magufuli angemsainia document akawe katibu mkuu sijui UN huko kungekuwepo na namna ya yeye kulalamika humu? Siku zote serikali ni mbaya kama haikurahisishii michongo yako na inakufata fata na kukuletea kero. Sote tunatambua kuwa kumiliki kadi tu ya CCM ni tiketi ya kuishi vizuri katika tawala zote za kifisadi.

Magufuli alishasanda kuwa Membe ni mamluki tu angeenda UN kupakaza huko hadi nchi isikalike ana kisasi kikubwa ila kukitekeleza hawezi wabaya wake wote hawezi kuwafikia sababu hana nguvu hio!
 
Huyu Mzee ni Mchawi kama walivyo CCM wote
 
Huyu dingi anasonona ,acha aropoke , gazeti la Jamuhuri liuzike ,lakini anajipiga kitanzi mwenyewe,asije kulaumu mtu
Anatuambia watu wa kanda ya ziwa sio watz..anasahau kama ipo siku inaweza ikamuangukia ngejewa akaenda kuomba kura. Kwa maendeleo aliyoyafanya kanda ya ziwa Magu huwezi mtoa kwenye mioyo yao. Watu wapo kimya tu wanawaangalia.
 
Na awamu iliyotangulia wangekuwa makini kwenye vetting Kikwete asingekuwa rais. Unakumbuka walivyoiteka nchi kwa fedha yeye na Lowassa kipindi hicho? Tatizo la vetting limeanza kuwa kubwa tangu kipindi hicho.
Na vetting ndio ilitusaidia yeye mropokaji na mwenye visasi kupigwa chini. Pia asisahau hata yeye hatuna uhakika wa uraia wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…