Wabantu wengi ni wakuja tuu wa ardhi hii ambayo Nyerere aliibatiza jina la Tanzania mwaka 1964. Asili yao ni Afrika magharibi, kati, na kusini. Mababu zao waliletwa kwa nguvu kama watumwa au walikuja wenyewe kutafuta rizki. Sasa Mtanzania halisi ni nani wakati wengi ni wahamiaji?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni kutoka nchi majirani zetu, wa mikoa ya pembezoni wanaopose kama Watanzania jee kuna haja kwa viongozi wetu wakuu wa umma tutoa maelezo ya kina kuhusu asili zao halisi na asili halisi za wazazi wao na mahali...
www.jamiiforums.com
Huyu kachero mbobevu aitwe kuhojiwa, anamaanisha ni naniliu ndio alimpotezea Ben Saanane na Azory Gwanda!. Hii ni dhambi kubwa kumsingizia....
Wanabodi, Saa hizi natafuta usingizi unagoma, hivyo nimeshuka jf, tutafakari pamoja kuhusu huu utafiti uliowahi kufanywa na kubaini kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ni kichaa!. Jee katika hizo sampling, inawezekana pia kukawa na baadhi ya viongozi wetu wa vyama, taasisi, mashirika, na...
Asante Mh Membe Mungu ni muweza sana hafanyi jambo lolote bila kusudio alijua hii nchi kina POLEPOLE BASHIRU KABUDI WANGETUPELEKA UKINGONI KABISAA WATU WA HOVYO KUWAHI KUTOKEA KATKA TAIFA LETU KAMA WANAFAMILIA WANAJISIKIA AIBU KUBWA SANA
Basi inamaanisha kule ofisini kwenu walikuwa wanajua, hivyo vijana wa ofisi waliopo upinzani ndio wakamwambia.
Sisi binadamu tusikose utu, kwa vile sote ni viumbe wa Mungu, Mungu akishaamua fulani apumzike, then ni anapumzika na sote lazima tuheshimu uamuzi huo na kumwacha apumzike.
Linachofanya hili Joka la Mdimu is not right at all!.
Tena lisifanye masikhara kabisa na kazi ya Mungu, huwezi jua nalo linaweza kuitwa wakati wowote!.
P
nafikiri pia vetting kama ingefanyika vizuri Membe asingeweza kuwa Waziri wala mgombea Urais... uwezo wake bado mdogo sana na ukitaka kumjua mpe nafasi ya kuongea...Hivyo bwana Membe ashukuru sana hiyo vetting kutofanyika vizuri maana tusingemjua pia..
Anatuambia watu wa kanda ya ziwa sio watz..anasahau kama ipo siku inaweza ikamuangukia ngejewa akaenda kuomba kura. Kwa maendeleo aliyoyafanya kanda ya ziwa Magu huwezi mtoa kwenye mioyo yao. Watu wapo kimya tu wanawaangalia.
Kanda yangu hakujenga uwanja wa ndege wa kimataifa.
Hakujenga bohari kuu ya madawa.
Hakuanzisha mbuga ya wanyama kinguvu kwa kuzoa wanyama kutoka mbuga nyingine ingawa mapori ya akiba yapo.
Kanda yangu tuna shida ya daraja lisilozidi kilomita moja hakujenga kaenda kujenga kigongo busisi tena bila ya aibu alisema lijengwe harakaharaka liishe pindi yeye akiwa madarakani ili rais ajaye asisitishe ujenzi wake.
Ni vizuri kuchunguza Afya za Akili za Viongozi wetu. Ukimsikiliza Membe anaongea na kumtizama Usoni unagundua kisaikolojia hayupo sawa.
Mimi toka zamani nilikuwa nashangaa huyu jamaa ubobezi anaosemwa anao kwenye Ukachero ni Upi? Mbona ni kama Dish limeyumba sometimes?
Mwangalie anapoongea au sikiliza maneno yake. Hana content kabisa kichwani. Anatia kichefu chefu kumsikiliza. Ukimsikia unagundua afya yake ya akili si salama.
Nilikuwa nashangaa sana Uwaziri alipewa kwa sifa zipi? Hata Ubunge alipata kwa sifa zipi? Mbona hana uwezo mzuri wa kujieleza? Hana content ya maana?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.