Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Ana vinasaba vya msumbiji ndio maana ana roho nyeusi.Membe ni mtanzania halisi,
Wala ile kwakuwa sote Tanzania ni wa Kuja sikumwambia kabisa! Nashangaa amezipata wapi hizo habariMkuu britanicca , ni wewe ndio ulikaa na kachero mbobezi ukamweleza kumhusu yule jamaa yetu?.
Kuna watu wana dhambi!, hawaheshimu hata watu ..., huu sio utu!, huwezi kumsema mtu ambaye hawezi kujitetea!. Huyu Kachero mbobevu ni muflis kabisa!.
Hili niliwahi kushauri, nikalaumiwa sana,
Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni kutoka nchi majirani zetu, wa mikoa ya pembezoni wanaopose kama Watanzania jee kuna haja kwa viongozi wetu wakuu wa umma tutoa maelezo ya kina kuhusu asili zao halisi na asili halisi za wazazi wao na mahali...www.jamiiforums.com
Huyu kachero mbobevu aitwe kuhojiwa, anamaanisha ni naniliu ndio alimpotezea Ben Saanane na Azory Gwanda!. Hii ni dhambi kubwa kumsingizia....
PKuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
Wanabodi, Saa hizi natafuta usingizi unagoma, hivyo nimeshuka jf, tutafakari pamoja kuhusu huu utafiti uliowahi kufanywa na kubaini kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ni kichaa!. Jee katika hizo sampling, inawezekana pia kukawa na baadhi ya viongozi wetu wa vyama, taasisi, mashirika, na...www.jamiiforums.com
Basi inamaanisha kule ofisini kwenu walikuwa wanajua, hivyo vijana wa ofisi waliopo upinzani ndio wakamwambia.Wala ile kwakuwa sote Tanzania ni wa Kuja sikumwambia kabisa! Nashangaa amezipata wapi hizo habari
Kabisa wewe pia umeliona hilo!Huyu Membe ukifuatilia kwa makini utaona naye anahitaji sana kufikishwa Milembe kwa checkup zaidi!
Kubishana na kuilalamikia maiti ni jambo la kustaajabisha kuwahi kutokea chini ya jua ikiwa mtu ana akili timamu.
Huyu mzee anajiona mwenye haki sana yani hapo ndipo anaponichosha! He couldn’t handle rejections like a man.Na vetting ndio ilitusaidia yeye mropokaji na mwenye visasi kupigwa chini. Pia asisahau hata yeye hatuna uhakika wa uraia wake.
Maendeleo au upendeleo aliowafanyia kanda ya ziwa huku kanda nyingine zikibaki yatima.Anatuambia watu wa kanda ya ziwa sio watz..anasahau kama ipo siku inaweza ikamuangukia ngejewa akaenda kuomba kura. Kwa maendeleo aliyoyafanya kanda ya ziwa Magu huwezi mtoa kwenye mioyo yao. Watu wapo kimya tu wanawaangalia.
Labda kanda yako wewe tu. Maana ukienda kusini, mashariki, magharibi kote kapiga.Maendeleo au upendeleo aliowafanyia kanda ya ziwa huku kanda nyingine zikibaki yatima.
Kwa hali hiyo lazima awe mioyoni mwao.
Kapiga nini?Labda kanda yako wewe tu. Maana ukienda kusini, mashariki, magharibi kote kapiga.