Bernard Membe: Kuna umuhimu wa kufanya vetting kwa viongozi wetu kuhusu uraia na afya zao

Kuna vingozi katika nchi hii ukiwasikiliza unajiuliza walifikaje hapo!
Hali hii huwa ni tofauti kabisa na jirani zetu Kenya, kule hata mjumbe wa nyumba kumi akielezea jambo unaona kabisa kuwa huyu ni kiongozi....ila hapa mh!
 
Basi kama hukunufaika kwa hayo bila shaka umeme umekupitia hadi miguuni, bila shaka kwenu kunaendeka kwa sasa kwa sababu ya barabara, basi pia umenufaika na mradi wa maji, lakini pia ndugu zako na wadogo zako wamenufaika na elimu bure bila kusahau vituo vya afya.
 
Tusi mung'unye maneno mwendazake ana asili ya Burundi.
 
Awamu ya nne ingekua makini katika Vetting Magufuli na Dk. Mpango wasingefika walipofika...

Afterall Tanzania ni kama marekani tu ni ardhi ya wahamiaji.
Hawa wanasiasa c wa kuamini hata kidogo! Nimemwona Membe ni mbabaishaji tu kama Maccm wengi walivo.
What is vetting? Yeye akiwa shushushu Namba 1 inakuwaje tuna viongozi wasio raia wa Tanzania? That means the whole system is rotten n' Corrupt to de core!!
 
Ameshapitwa na wakati, hakuna namna akubali tu kuwaona wenzake wakiendelea kula keki ya Taifa!!
 
Ana asili ya Burundi lakini ni mtanzania!!
Tukubali tusikubali, Magufuli amekuja na tabia mbaya zisizo za kistaarabu ambazo zingweza kuchochea mauaji nchini.
Tayari mauaji ya siri yalianza kufanyika na mfano mzuri ni kumiminia risasi Tundu Lissu.

Tanzania tukaribishe watu toka nje wanaokimbja unyanasaji , lakini kuwakaribisha katika uongozi uliotukuka wa nchi, mama yetu Tanzania, hili liwe somo kubwa.
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
 
Niguse ninuke
 
Awamu ya nne ingekua makini katika Vetting Magufuli na Dk. Mpango wasingefika walipofika...

Afterall Tanzania ni kama marekani tu ni ardhi ya wahamiaji.
Nafikiri sasa vetting iliyofanywa na Mungu imemfurahisha Membe.
 
Kuna vingozi katika nchi hii ukiwasikiliza unajiuliza walifikaje hapo!
Hali hii huwa ni tofauti kabisa na jirani zetu Kenya, kule hata mjumbe wa nyumba kumi akielezea jambo unaona kabisa kuwa huyu ni kiongozi....ila hapa mh!
View attachment 2005267
Mwanasiasa maarufu anayekubalika nchini akihutubia maelfu ya wafuasi wake.
 
Keshaumaliza mwendo...

Bado sisi 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Kamati Kuu ya CCM imesikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…