Bernard Membe: Kuna umuhimu wa kufanya vetting kwa viongozi wetu kuhusu uraia na afya zao

Nahisi ulikuwa unamtabiria Jasusi MBOBEZI
 
Vetting hii nchi yenu ninyi majizi?
 
Hizo vetting zako zinahusu familia,ungeenda uwaambie watu wa familia sio hapa,aliona wengine Ni wa kufaa...
 
Ni nasaha kwelikweli
 
Huyo ndio BM
 
huyu hana jipya , huwezi rusha tetesi kavu bila evidence yyte , hizo vetting committees nishawai keti kwa sitting moja , ile scrutiny ipo pale ni kubwa mno , sema alibaniwa akapata chuki , anavyoenda atapangiwa njama wambane na wamfilisi kabisa, membe mwenyewe kuna uvumi sio mtz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…