Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ripoti za ndani kabisa zinaonyesha kuwa hakuna kampuni yoyote ile iliyopokea mkopo wa bil 46 ili iweze kujenga kiwanda cha saruji huko Lindi.
Ripoti za ndani zinaonyesha wewe ukiwa waziri wa nje ulifanya janjajanja na hizo pesa zikakwapuliwa na hata huyu muwekezaji Meis industries hakupata mkopo wa aina yoyote. Bali wewe na genge lako mlikwapua bil 46.
Sasa unajinasibu msafi kisiasa na umerudi CCM jisafishe kwa kurudisha bil 46 za umma ulizokwapua na genge lako.
👇
magazetini3.rssing.com