Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Mimi sio kachero, nimegombea kuchukua kiti cha urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Niliwahi kusema humu haya mambo ya kuwakumbatia watu wanaotoka uko CCM ni kosa kwa vyama vya upinzani.
 
Kwahiyo Membe kapigwa pini kila mahali kugombea Urais ?? Duuh pole yake.
 
"Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna haja ya kumpa airtime huyu mhuni kutoka ccm, tusimjadili anatafuta pa lutokea
 
Membe kuna mahali nati zimelegea
 
Hahahahahah

Membe kagombana na JPM sio CCM kama ambavyo Lowassa aligombana na Jk sio Ccm
Magufuli kaharibu career ya mwenzake kipuuzi sana.

Siasa za visasi hazina maana yoyote kwa watu waliostaarabika.

Mbona mzee Mkapa hakumuua kisiasa mshindani wake wa karibu ndani ya chama ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…