Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kukaa upinzaniMahali pekee ambapo Membe atapata utulivu na kuheshimika tena ni kurudi CCM. La sivyo siasa za upinzani zitamtesa sana. Namhurumia!
Bwege.MBUNGE GANI ALIYEMFUATA?
Zito mwenyewe mamlukiHawezi kukubali kua ni mamluki wa ccm ila uhalisia unajionesha na ndio maana zitto kamtema
Zito mwenyewe mamluki
Infact anajua Tundu Lissu hashindi ila yupo kaziniWatu hawamwelewi zitto, zitto huwa anaweza na akili za wapinzani ila ni CCM mzuri tu.
Mbunge wa BurundiMBUNGE GANI ALIYEMFUATA?
Hatuna haja ya kumpa airtime huyu mhuni kutoka ccm, tusimjadili anatafuta pa lutokeaNimetoka kusikiliza mahojiano ya mgombea urais wa JMT kupitia tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo muda mfupi uliopita kwenye kituo cha DW. Mtangazaji katupa maswali ambayo nilikuwa nikitamani sana siku moja kusikia BM mwenyewe akiyatolea ufafanuzi licha ya kusikia juu juu tu.
Moja kati ya swali ambalo kaulizwa ni kuhusu yeye kuhusishwa sana na ukachero na yawezekana kabisa akawa amepandikizwa na chama tawala ili kuuwa nguvu ya upinzani kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu.
Bernard Kamillius Membe ameweka wazi kabisa kuwa, yeye ameamua mwenyewe kugombea na kuwania nafasi ya urais wa JMT wala sio pandikizi kama fikra za baadhi ya watu zinavyodai. "Kama ni kutumwa, unadhani nitakuwa nimetumwa na nani? Kwa lengo lipi? Au kwa kupata cheo kipi, ambacho kufumba na kufumbua unaweza kujikuta umetumbuliwa?", amesema Membe.
Mbali na hayo yote, Ndugu Bernard Kamillius Membe amesema kitendo cha yeye kuja ACT-Wazalendo ni kwa sababu ya kuchoshwa na mambo yalivyokuwa yakifanyika upande wa pili na ndiyo maana kulikuwa na idadi kubwa sana ya wabunge waliomfuata na wala hawakwenda kwenye vyama vingine.
Source: DW
Membe kuna mahali nati zimelegeaNimetoka kusikiliza mahojiano ya mgombea urais wa JMT kupitia tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo muda mfupi uliopita kwenye kituo cha DW. Mtangazaji katupa maswali ambayo nilikuwa nikitamani sana siku moja kusikia BM mwenyewe akiyatolea ufafanuzi licha ya kusikia juu juu tu.
Moja kati ya swali ambalo kaulizwa ni kuhusu yeye kuhusishwa sana na ukachero na yawezekana kabisa akawa amepandikizwa na chama tawala ili kuuwa nguvu ya upinzani kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu.
Bernard Kamillius Membe ameweka wazi kabisa kuwa, yeye ameamua mwenyewe kugombea na kuwania nafasi ya urais wa JMT wala sio pandikizi kama fikra za baadhi ya watu zinavyodai. "Kama ni kutumwa, unadhani nitakuwa nimetumwa na nani? Kwa lengo lipi? Au kwa kupata cheo kipi, ambacho kufumba na kufumbua unaweza kujikuta umetumbuliwa?", amesema Membe.
Mbali na hayo yote, Ndugu Bernard Kamillius Membe amesema kitendo cha yeye kuja ACT-Wazalendo ni kwa sababu ya kuchoshwa na mambo yalivyokuwa yakifanyika upande wa pili na ndiyo maana kulikuwa na idadi kubwa sana ya wabunge waliomfuata na wala hawakwenda kwenye vyama vingine.
Source: DW
Au pengine ule ugonjwa wake umemtafuna kiasi lwamba ubongo haufanyi kazi sawasawaMembe kuna mahali nati zimelegea
Magufuli kaharibu career ya mwenzake kipuuzi sana.Hahahahahah
Membe kagombana na JPM sio CCM kama ambavyo Lowassa aligombana na Jk sio Ccm
Ana ugonjwa gani tenaAu pengine ule ugonjwa wake umemtafuna kiasi lwamba ubongo haufanyi kazi sawasawa