Uchaguzi 2020 Bernard Membe ni kachero mtiifu kwa 'boss' wake Magufuli

Tukiachana na kutukana, vipi kuhusu kumtaja kwa jina? Umewahi kumsikia Membe akitaja jina Magufuli hata kwenye hoja za msingi zinazokinzana? Ushajiuliza ni kwanini?
Kwani ulishawahi kumsikia Magufuli akimtaja Tundu Lissu?
 
El Commandante BCM!!!!

Siempre Siempre John Pombe Magufuli.

Hasta la Victoria John Pombe Magufuli.

Aluta CCM!!
 
Kwa Chadema yaani hata ukikojoa bara barani ukiwa unapinga pinga wao wanaona ni sawa tu.
 
Sio Membe tu, Magufuli huwa hamtaji hata Lissu kwa jina.

Hizi ni kesi tofauti, kwa sababu Lissu yeye humtaja Magufuli kwa jina. Turudi kwa Membe.
Kwa hiyo kwa kuwa magu hamtaji Lissu basi Magu anakuwa mtii kwa Lissu?
 
If that is the case, kampeni atazifanyaje bila kutaja madhaifu ya Jiwe as part of his speeches? All in all, sidhani kama anakatazwa. Anakatazwa kutoa siri za ukachero! Kuwa tunafanyaga hivi na hivi ... ie deeds alizotumwa kuzifanya
 
Hawezi kulikata tawi alokalia mwenyewe. If you cant beat them, join them, au?
 
Imeandikwa usilitaje bure jina la ....
 
Membe alisoma Political science anakuja siasa maana yake ni nini. Atatoa na kujibu hoja. Pia Membe ni mstaarabu wa kuzaliwa siyo mtu wa kitaa.
 
Leo beth umedukuliwa hadi unachangia hoja!!

Tumezoea kukuona ukileta habari tu na kukimbia, kama yule mwingine miss zomboko!
 
Inawezekana kuna ka ukweli.
Maana hata Lowasa hakuwahi kumsema Magu kwenye uchaguzi uliopita na kilichotokea tumekiona.
 
Membe Ni kibarska katuma upinzani Kama pandikizi kuja kuvuruga ,Kauli yake hii inatuibitisha and I quote tumejazs fomu kimyakimya bila mikutano kuepuka kuvunja sheria , maana yake kuwa Lissu kavunja sheria Membe anaitengenezea tume mazingira imkate Lissu ,Kauli hiyo hakukosea Ina mahessbu ndani yake.
 
Huyu kaja kupunguza kura za upinzani tu.
Anyhow hata hizo za mkulu nazo zitakua sio za kishindo kihivyo maana full kugawana.
 
Membe anaweza kujikuta akipata kura kiduchuu kama hataweza kuvisema vitu ambavyo wananchi wanataka kuvisikia kwenye kampeni zake.

kama ni koleo ita koleo - usiite kijiko kikubwa !!
 
Huyu kaja kupunguza kura za upinzani tu.
Anyhow hata hizo za mkulu nazo zitakua sio za kishindo kihivyo maana full kugawana.

Kwani wagombea wa vyama vya upinzani wapo wangapi? Kwanini Membe tu ndiyo agawanye kura za upinzani na siyo hao wengine?
 
Huyu kaja kupunguza kura za upinzani tu.
Anyhow hata hizo za mkulu nazo zitakua sio za kishindo kihivyo maana full kugawana.
Mna uhakika? Yaani hata Zitto mpinzani wa siku zote naye mnashindwa kumuamini? Wasiomuamini Membe, basi wamuamini Zitto na Maalim Seif
 
Mna uhakika? Yaani hata Zitto mpinzani wa siku zote naye mnashindwa kumuamini? Wasiomuamini Membe, basi wamuamini Zitto na Maalim Seif
Kura tushazigawa ndio ntolee hiyo
 
Kwani wagombea wa vyama vya upinzani wapo wangapi? Kwanini Membe tu ndiyo agawanye kura za upinzani na siyo hao wengine?
Tunaangalia wenye mvuto kiasi.
Lipumba hana tofauti na mzee wa ubwabwa. Wengine wote taabani
Story ya mjini ni Lissu na Membe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…