Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Anzisheni na maza ako na nyiechama kinakuwa mali ya mtu flani km kile cha vidole viwili✌
Ma CCM bwana!Hao hao walio shangilia wakati wanamfukuza,
NDIO HAO HAO TENA WANA MSHANGILIA AKIWA ANA REJEA CCM.
[emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji2960][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Bongo sihami.
Unaamanisha Slaa na Msukuma..?!Sukuma gang na MATAGA kama wana akili, wangeanzisha chama chao mapema kwa ajili ya 2025!
Wakiupuuza huu ushauri wangu, basi wengi watakufa kwa presha! Maana hakuna namna.
Ila huyu mzee muhuni Sana,kipindi Cha kampeni za uraisi zimeanza na yeye Ni mgombea wa ACT yeye kasafiri kaacha taharuki huku!Tujikumbushe kidogo kazi zake za sanaa😁😁😁View attachment 2170420
Yaani safu imekamilikaHuku kinana huku membe huku riz huku january.
Nimeamini jakaya baba lao.
Sukuma gang na MATAGA kama wana akili, wangeanzisha chama chao mapema kwa ajili ya 2025!
Wakiupuuza huu ushauri wangu, basi wengi watakufa kwa presha! Maana hakuna namna.
Tutajie sukuma gang 3 na mataga 3Sukuma gang na MATAGA kama wana akili, wangeanzisha chama chao mapema kwa ajili ya 2025!
Wakiupuuza huu ushauri wangu, basi wengi watakufa kwa presha! Maana hakuna namna.
Hao wote uliowataja wataungana na kina Membe kuwapelekea moto machadema 2025 mpaka yateme ndoano.
chama kinakuwa mali ya mtu flani km kile cha vidole viwili[emoji111]
CCM Ni watu wa ajabu sana,yaani hawaeleweki Kama nywele.Hao hao walio shangilia wakati wanamfukuza,
NDIO HAO HAO TENA WANA MSHANGILIA AKIWA ANA REJEA CCM.
[emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji2960][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Bongo sihami.
ElitwegeHalmashauri Kuu ya CCM Taifa imemsamehe na kumrudishia uanachama wa CCM aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Camilius Membe aliyekuwa amefukuzwa ndani ya chama hicho.
Pia soma
- Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee
- Natabiri kuna siku Bernard Membe atarudi CCM
- Bernard Membe: Kuna umuhimu wa kufanya vetting kwa viongozi wetu kuhusu uraia na afya zao
- Bashiru Vs Membe: CCM yatoa msimamo wake kuhusu suala hilo
- Membe: Kuna CCM Mpya na CCM ya Zamani
Haha...
Acha na wao wale maisha sasa hivi.
Membe sio Tu amerudi CCM Bali anakuja kuwa raisi WA Tanzania 2025.
ukatae ukubali huyu ndiye raisi ajaye WA nchi hii,labda itokee Mzee WA msoga hayupo lkn kama atakuwa hai tutegemee kuona ujio mpya 2025
Anatulizwa Tu na wenye nchi Yao tena ni mwepesi Sana kwasababu watatumia ustaarabu Tu kumwomba aachie madaraka.Rais mwenye maungo ya mwanamke atakubali kuutema mzigo?