Mifumo yaki masikin hiyo Ulaya hamna Siasa za ulaya zipo wazi Serikali zao zinaendesha kwa uwazi ndiyo maana viongozi wao wakistaafu huwezi kuwakuta wanaomba kuteuliwa tena wao wanafanya shughuli zao zakusaidia jamii mfano Mama Salma alikuwa na Taasisi yake yakusaidia watoto wakike Leo hii huisikii tena kwasababu ilikuwa kichaka cha wizi na utapeli haiwezekani Mke wa Raisi ukapewa ubunge na ukakubali jinsi gani inavyo onyesha viongozi wajinga Mke wa Lowasa alipewa Ubunge wa Vitimaalum lakin yeye aliukataa kwasababu yeye ana jielewa nafasi aliyokuwa nayo.Ukichunguza sana siasa Ndio zilivyo karibu sehemu nyingi Duniani!
Republican na Democrat kule USA wana kitu kinaitwa establishment Ndio walioleta figisu Trump akakosa uraisi kwa kura za Utata.
Uingereza kuna mabwana ( House of lords ) kwa conservative na labour
Nchi nyingine ulaya kuna wafadhili matajiri wakubwa wanatoa pesa kusaidia vyama na wagombea
Russia kuna oligarchs
Hawa sio wenye chama bali ni majambazi yanaoitumia CCM kwa manufaa yao binafsi.
Muulize Propesa wa Jalalani atakua jibu....!!Usaliti gani? Ye nani? Alikuwa Mungu?
Huyu inabdi aanzishe tu chama chakeDr Silaha atafanyaje Sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Dr ni kama msalitiHuyu inabdi aanzishe tu chama chake
Ova
Hii pia nayo ni habari ?Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemsamehe na kumrudishia uanachama wa CCM aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Camilius Membe aliyekuwa amefukuzwa ndani ya chama hicho.
Pia soma
- Abdulrahman Kinana asamehewa, Bernard Membe afukuzwa rasmi CCM
- Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee
- Natabiri kuna siku Bernard Membe atarudi CCM
- Bernard Membe: Kuna umuhimu wa kufanya vetting kwa viongozi wetu kuhusu uraia na afya zao
- Bashiru Vs Membe: CCM yatoa msimamo wake kuhusu suala hilo
- Membe: Kuna CCM Mpya na CCM ya Zamani