davejillaonecka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2018
- 697
- 749
Kimbunga kumbakumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jasusi lipo mbioni.....Mimi kama mwanchi niliempigia kura mgombea wangu Bernad Membe ninaomba kujulishwa Mheshimiwa huyu yupo api. Au kasafiri. Mnielekeze
Nina amini hili swalaHuyu lazima ataibukia Lumumba....
Yuko anasubiri kusaini kwa kalamu nyekundu na baadae anafanya sherehe ya ushindi Ikulu.Mimi kama mwanchi niliempigia kura mgombea wangu Bernad Membe ninaomba kujulishwa Mheshimiwa huyu yupo api. Au kasafiri. Mnielekeze
Acha hizo. Haendi LumumbaNina amini hili swala
Baada ya kazi ngumu ya kupiga kampeni miezi 3 lazima aende kula BATAAAAA!!!! Kazi na Bata!!!Mimi kama mwanchi niliempigia kura mgombea wangu Bernad Membe ninaomba kujulishwa Mheshimiwa huyu yupo api. Au kasafiri. Mnielekeze
Ungemalizia,"Uzi tayari!" Ahahahahahahahah!!!Mimi kama mwanchi niliempigia kura mgombea wangu Bernad Membe ninaomba kujulishwa Mheshimiwa huyu yupo api. Au kasafiri. Mnielekeze
Ulipendekeza uzi uweje???Ungemalizia,"Uzi tayari!" Ahahahahahahahah!!!
Tipsy huko ni ushuani sipawezi mkuuTupo hapa tips now
Njoo
Kabisa poti... UmeonaaNina amini hili swala
Ameenda Dubai kufuatilia mkwanja ili aendeleze kampeni za "chini kwa chini"!!!Mimi kama mwanchi niliempigia kura mgombea wangu Bernad Membe ninaomba kujulishwa Mheshimiwa huyu yupo api. Au kasafiri. Mnielekeze
Anamalizia Kutengeneza Filamu yake nyingine ambayo kama ikimalizika haraka basi atawavuruga tu zaidi Wapinzani Wote Muhimu nchini Tanzania.Mimi kama mwanchi niliempigia kura mgombea wangu Bernad Membe ninaomba kujulishwa Mheshimiwa huyu yupo api. Au kasafiri. Mnielekeze