Bernard Membe yupo kweli?

Bernard Membe yupo kweli?

Jasusi mbobezi...[emoji1787][emoji1787].

Hivi kweli Membe alikuwaga ni jasusi?

Seriosly?
Leo wwkati anahojiwa na DW, kasema yeye sio jasusi wala kachero.
Nilichogundua hakuna watu wabaya kama makamanda maana wao ndio walikuwa mabingwa wa kumbatiza hayo majina, mara jasusi mbobezi mara kachero, mara mwanadiplomasia nguli
 
Back
Top Bottom