K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Oct 18, 2020 #141 Membe ni bora angetulia ccm,ameanguka kwa aibu kubwa sana,aliowaamini wamemtosa hadharani
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Oct 20, 2020 Thread starter #142 Jasusi mbobezi...🤣🤣. Hivi kweli Membe alikuwaga ni jasusi? Seriosly?
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 20,694 Reaction score 32,527 Oct 20, 2020 #143 Nyani Ngabu said: Jasusi mbobezi...[emoji1787][emoji1787]. Hivi kweli Membe alikuwaga ni jasusi? Seriosly? Click to expand... Leo wwkati anahojiwa na DW, kasema yeye sio jasusi wala kachero. Nilichogundua hakuna watu wabaya kama makamanda maana wao ndio walikuwa mabingwa wa kumbatiza hayo majina, mara jasusi mbobezi mara kachero, mara mwanadiplomasia nguli
Nyani Ngabu said: Jasusi mbobezi...[emoji1787][emoji1787]. Hivi kweli Membe alikuwaga ni jasusi? Seriosly? Click to expand... Leo wwkati anahojiwa na DW, kasema yeye sio jasusi wala kachero. Nilichogundua hakuna watu wabaya kama makamanda maana wao ndio walikuwa mabingwa wa kumbatiza hayo majina, mara jasusi mbobezi mara kachero, mara mwanadiplomasia nguli