Bernard Morison ni Mali ya Simba, TFF wanachelewesha sakata kwa Makusudi

Bernard Morison ni Mali ya Simba, TFF wanachelewesha sakata kwa Makusudi

Omary Manjua

Member
Joined
Nov 24, 2018
Posts
46
Reaction score
47
Bernard Morison ni Mali ya Simba, TFF wanachelewesha sakata kwa Maksudi, Mkataba wa Morison Simba waliupokea wao TFF halafu sasa hiv wanauchunguza tena hapo walivyotoa kibali kuwa Morison ni mchezaj wa Simba hawajauangalia huo mkataba?

Wasituzuzue sisi ni watu wenye akili zet na mpira wa kibongo tunaujua vilivyo hasa kwa vilub vya SIMBA na YANGA.
 
Uyo mchezaji Simba wamewapora Yanga kwa kutumia fedha nyingi sana uku Tff wakiwasaidia kwa kiasi kikubwa sana, na Bado Simba itakwenda kupata hasara kubwa sana. Ni swala la muda tu.
Bhaeleze bhaelewe mkuu
 
Mchezaji ni wa Simba na Dunia inatambua hivyo,kilichopo ni viongozi wa Utopolo kuwazuga tu mashabiki ili mashabiki wachelewe kuamsha bundi,siku zisogee sogee.
 
Hashim Rugwe katoa ofa kwa yanga amesema hawaoni vizuri kuwa morson Ni Mali ya Simba ila hawalioni Hilo vizuri
 
Uyo mchezaji Simba wamewapora Yanga kwa kutumia fedha nyingi sana uku Tff wakiwasaidia kwa kiasi kikubwa sana, na Bado Simba itakwenda kupata hasara kubwa sana. Ni swala la muda tu.
Kuna gazeti limeandika GSM,imempa Tripo C, a.k.a.mwamba wa Lusaka tsh 460million,ili asajiliwe na timu ya wananchi,hivi hizi habari Zina ukweli?au za kutufurahisha Susi mashabiki wa Dar young African.
 
Bernard Morison ni Mali ya Simba, TFF wanachelewesha sakata kwa Maksudi, Mkataba wa Morison Simba waliupokea wao TFF halafu sasa hiv wanauchunguza tena hapo walivyotoa kibali kuwa Morison ni mchezaj wa Simba hawajauangalia huo mkataba?

Wasituzuzue sisi ni watu wenye akili zet na mpira wa kibongo tunaujua vilivyo hasa kwa vilub vya SIMBA na YANGA.
Nimeona
 
Leo kwenye game ya Prisons ndiyo nimeamini kazi anayoijua ni wizi wa magari pekee,alikuwa anaruka ruka tu kalegea kama mrenda.
 
Kwanini tff ili kuondoa sintofahamu wasimchukue tu huyo Morrison wampangie hata nafasi ya Mjumbe wa benchi lao.....!
 
Back
Top Bottom