Omary Manjua
Member
- Nov 24, 2018
- 46
- 47
Bhaeleze bhaelewe mkuuUyo mchezaji Simba wamewapora Yanga kwa kutumia fedha nyingi sana uku Tff wakiwasaidia kwa kiasi kikubwa sana, na Bado Simba itakwenda kupata hasara kubwa sana. Ni swala la muda tu.
Hakuna maana muda mwingi kuchunguza kitu kile kile
Kuna gazeti limeandika GSM,imempa Tripo C, a.k.a.mwamba wa Lusaka tsh 460million,ili asajiliwe na timu ya wananchi,hivi hizi habari Zina ukweli?au za kutufurahisha Susi mashabiki wa Dar young African.Uyo mchezaji Simba wamewapora Yanga kwa kutumia fedha nyingi sana uku Tff wakiwasaidia kwa kiasi kikubwa sana, na Bado Simba itakwenda kupata hasara kubwa sana. Ni swala la muda tu.
NimeonaBernard Morison ni Mali ya Simba, TFF wanachelewesha sakata kwa Maksudi, Mkataba wa Morison Simba waliupokea wao TFF halafu sasa hiv wanauchunguza tena hapo walivyotoa kibali kuwa Morison ni mchezaj wa Simba hawajauangalia huo mkataba?
Wasituzuzue sisi ni watu wenye akili zet na mpira wa kibongo tunaujua vilivyo hasa kwa vilub vya SIMBA na YANGA.