OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
HahahaaaKatika mtandao wake wa Simba App,Simba imetoa taarifa ya BM3 kuomba msamaha kwa makosa ya kunidhamu. Menejiment ya Simba imemsamahe kiungo huyo na ametakiwa kurudi kambini Mo Simba Arena.
Ni kweli jamaa Ni hasara tupu..Tangu Morison atue simba Faida yake ni ndogo kuliko Hasara.
Kazi yake sio kufunga magoli, hapo ndipo unapofeli utopolo. Ças mlienda kufanya nnNi kweli jamaa Ni hasara tupu..
Sina hakika Kama amefunga hata goli 7 ya ligi kwa miaka miwili akiwa Simba.
Mkuu hasara zipi hizo kazileta wakili msomi pale simba???Tangu Morison atue simba Faida yake ni ndogo kuliko Hasara.
Mechi ya marudiano ipi mkuu?Kwenye mechi ya marudiano morrison yupo na lwanga nadhani atakuwepo
Kwa hiyo mlimsajili kama Wakili?Kazi yake sio kufunga magoli, hapo ndipo unapofeli utopolo. Ças mlienda kufanya nn
Ni kweli jamaa Ni hasara tupu..
Sina hakika Kama amefunga hata goli 7 ya ligi kwa miaka miwili akiwa Simba.
Yeah tarehe 27 tunakutana na berkane, na jana hapo alimpiga mtu goli 5 huku na yeye akiruhusu goli 3 na ndio kinara wa group kwa tofauti ya magoliMechi ya marudiano ipi mkuu?
Kumbuka hii ni ligi siyo knock out stage ratiba iko hv ijumaa simba atacheza ni ile timu ya niger(away) akitoka hapo anaenda morocco kucheza na berkane. Hayo marudiano ni second round
unaambiwa alitengewa milion 230 na bosi wa uto ila mwisho wa siku kaomba radhi unyamaniHahahaaa
Yanga hawakumchukua.
Nazani anahitaji msaada wa upande wa pili zaidi kuliko kitu kingine bangi nikisingizio tu.Huyu mvuta bangi nilitaka wamtimue tu, atakuja kuwa kirusi kambini awavuruge na wenzake.
Hakuna marudiano acha ukoloKwenye mechi ya marudiano morrison yupo na lwanga nadhani atakuwepo
So Long as Simba atakuja kucheza na Asec Ivory Coast basi hayo ndo yatakua marudiano yenyewe. Labda ieleweke tu kua hapo itakua ni kipindi atakachoanza hatua ya marudiano akiwa ameshacheza na Gendarmerie na Berkane.Hakuna marudiano acha ukolo