Bernard Morrison aomba radhi Simba SC, asamehewa

Bernard Morrison aomba radhi Simba SC, asamehewa

So Long as Simba atakuja kucheza na Asec Ivory Coast basi hayo ndo yatakua marudiano yenyewe. Labda ieleweke tu kua hapo itakua ni kipindi atakachoanza hatua ya marudiano akiwa ameshacheza na Gendarmerie na Berkane.
Achana nao hawajui mpira hao..Ila hawa berkane naowakawaida tu..Unaruhusu vipi goli tatu nyumban kwako hata kama umeshnda tano.Inaonekana wanafungua sana...Ngoja tuone
 
Huyu mvuta bangi nilitaka wamtimue tu, atakuja kuwa kirusi kambini awavuruge na wenzake.
Kirusi gani wewe acha kukuza mambo bila sababu.makosa yakinidhamu ni vitu vya kawaida kwa binadamu.Wewe mwenyewe nivile hujulikani ila siajabu una makosa kibao kuliko ya morison.Ingekua kila anayefanya kosa la kawaida la kinidhamu anafukuzwa mahali pa kazi unadhani ingekuaje.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
We Ushaona Wapi Mchezaji Akatoka Yanga Kwenda Simba Akacheza Mpira Zaidi Ya Benchi Na Kuhangaika Na Mambo Mengine [emoji23]
 
Ni kweli kwa sababu ya hasara yake ndio maana leo simba iko makundi CAF confederations cup
Unajiona wewe Ni Simba Sana kuliko sisi..
Niambie faida ya morisoni..
Niambie ubora wake upo kwenye Nini..kufunga au kutoa assist..?
Niambie Kama mkataba mpya anastahili kupata mamilioni yanayosemwa..
Ipo siku utatuambia Manula ni hasara hajafunga goli kwa miaka 5 aliyokaa simba
 
Back
Top Bottom