Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
Achana nao hawajui mpira hao..Ila hawa berkane naowakawaida tu..Unaruhusu vipi goli tatu nyumban kwako hata kama umeshnda tano.Inaonekana wanafungua sana...Ngoja tuoneSo Long as Simba atakuja kucheza na Asec Ivory Coast basi hayo ndo yatakua marudiano yenyewe. Labda ieleweke tu kua hapo itakua ni kipindi atakachoanza hatua ya marudiano akiwa ameshacheza na Gendarmerie na Berkane.
Una uhakika simba hatacheza tena na asec au umepigwa na kitu kizito kichwani baada ya mnyama kupiga mtu.Hakuna marudiano acha ukolo
Kirusi gani wewe acha kukuza mambo bila sababu.makosa yakinidhamu ni vitu vya kawaida kwa binadamu.Wewe mwenyewe nivile hujulikani ila siajabu una makosa kibao kuliko ya morison.Ingekua kila anayefanya kosa la kawaida la kinidhamu anafukuzwa mahali pa kazi unadhani ingekuaje.Huyu mvuta bangi nilitaka wamtimue tu, atakuja kuwa kirusi kambini awavuruge na wenzake.
Hajawahi kujifunza huyo jamaa ana kichwa kigumu sanakusimamishwa kwake na kuomba msamaha nadhani atakua keshapata funzo.
Anakichwa kigumu kama tofali[emoji23][emoji23]Hajawahi kujifunza huyo jamaa ana kichwa kigumu sana
Hata assist hazifiki 5Kazi yake sio kufunga magoli, hapo ndipo unapofeli utopolo. Ças mlienda kufanya nn
Ipo siku utatuambia Manula ni hasara hajafunga goli kwa miaka 5 aliyokaa simbaNi kweli jamaa Ni hasara tupu..
Sina hakika Kama amefunga hata goli 7 ya ligi kwa miaka miwili akiwa Simba.
Unajiona wewe Ni Simba Sana kuliko sisi..Ni kweli kwa sababu ya hasara yake ndio maana leo simba iko makundi CAF confederations cup
Ipo siku utatuambia Manula ni hasara hajafunga goli kwa miaka 5 aliyokaa simba
We jamaa kilaza balaa.Hakuna marudiano acha ukolo
🤣🤣🤣🤣Ipo siku utatuambia Manula ni hasara hajafunga goli kwa miaka 5 aliyokaa simba
Kama mchezaji. Hoja yako ni ipi? Au ni lazima kila mchezaji wa mpira mpaka afunge goli?Kwa hiyo mlimsajili kama Wakili?