Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi sana huko YangaKama nilivyo waeleza hapo awali.
Ni aidha aondoke Barbara Gonzalenz au Bernard Morrison. Hawa mafahali wawili wameshindwa ishi zizi moja.
Kaeni tayari Bernard ataendelea kucheza LIGIKUU Msimu ujao 2022/23.
Wamechukua samaki alieoza kaenda kuharibu samaki woteIdadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi sana huko Yanga
Aende Tu,,
Simba kubwa kuliko hata madevu yake
Ila ni halali naniliu ya Barbara iwe kubwa kuliko Simba?Aende Tu,,
Simba kubwa kuliko hata madevu yake
Unataka Simba wasajili wainjilist?Afadhali apeleke bangi zake utopolo wanazipenda.
Aende kwa mvuta bangi mwenzake zeruzeruAfadhali apeleke bangi zake utopolo wanazipenda.
Tiba alikuwa na Dili lake tayari lkn pia umri wake umemtupa mkonoYanga bwana akili zao wanazijua wenyewe umuache ntibanzonkiza kwasababu ya ujeuri halafu umrudishe Morrison kweli kichwa ipo sawa sawa.
Bro saido hakuachwa kwa makusudi masharti aliyotoa yanga walishindwaYanga bwana akili zao wanazijua wenyewe umuache ntibanzonkiza kwasababu ya ujeuri halafu umrudishe Morrison kweli kichwa ipo sawa sawa.
😂🤣😅😆😁😄😃😀Aende Tu,,
Simba kubwa kuliko hata madevu yake
Morrison akicheza Yanga huwa anaibutua Kolo FC aje tunampokea kichaa chake kitatulizwa tu timu ya wanaume watupuAfadhali apeleke bangi zake utopolo wanazipenda.
Ila Barbra ni tatizo pale Simba.
MO aangalie
huwa hatuna utamaduni wa kutukana uumbaji! punguza mhemko boss!Aende kwa mvuta bangi mwenzake zeruzeru
Unakumbuka zeruzeru alimuitq Mwakalebela kg 800 kutokana na maumbile yake au ulikuwa hujazaliwa? Ukitaka uheshimiwena wewe heshimu wengine. Ni hayo tuhuwa hatuna utamaduni wa kutukana uumbaji! punguza mhemko boss!