Bernard Morrison Apewa “Realesed Lettter” Mchana Huu.

Bernard Morrison Apewa “Realesed Lettter” Mchana Huu.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Kama nilivyo waeleza hapo awali.

Ni aidha aondoke Barbara Gonzalenz au Bernard Morrison. Hawa mafahali wawili wameshindwa ishi zizi moja.

Kaeni tayari Bernard ataendelea kucheza LIGIKUU Msimu ujao 2022/23.
 
Idadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi sana huko Yanga
 
Ttizo la Morrison, alikuwa akichagua Mechi za kujituma uwanjani.

Kimataifa aliibeba sana Simba, kila alipopewa nafasi ya kucheza - Timu ilibadilika kiuchezaji.
 
Kwani yeye (Morisson) ni employee au employer? He is being paid to play and to abide to whatever is specified kwenye contract and not to dictate terms kwa employer wake. He is not indispensable. Ilitokea Arsenal (Patrick Ayb) na Chelsea. Nini maana ya kuwa na CEO? Lazima pawe na accountability na siyo kufanya mambo hovyo hovyo.
 
Yanga bwana akili zao wanazijua wenyewe umuache ntibanzonkiza kwasababu ya ujeuri halafu umrudishe Morrison kweli kichwa ipo sawa sawa.
 
Yanga bwana akili zao wanazijua wenyewe umuache ntibanzonkiza kwasababu ya ujeuri halafu umrudishe Morrison kweli kichwa ipo sawa sawa.
Tiba alikuwa na Dili lake tayari lkn pia umri wake umemtupa mkono

Kwetu tuna madamtari zaidi ya milembe

[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Yanga bwana akili zao wanazijua wenyewe umuache ntibanzonkiza kwasababu ya ujeuri halafu umrudishe Morrison kweli kichwa ipo sawa sawa.
Bro saido hakuachwa kwa makusudi masharti aliyotoa yanga walishindwa
 
Afadhali apeleke bangi zake utopolo wanazipenda.
Morrison akicheza Yanga huwa anaibutua Kolo FC aje tunampokea kichaa chake kitatulizwa tu timu ya wanaume watupu
 
huwa hatuna utamaduni wa kutukana uumbaji! punguza mhemko boss!
Unakumbuka zeruzeru alimuitq Mwakalebela kg 800 kutokana na maumbile yake au ulikuwa hujazaliwa? Ukitaka uheshimiwena wewe heshimu wengine. Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom