Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Alipokuwa kwenu alikuwa wakili msomi leo kawa mwehu🤣🤣🤣Huyo mwehu mchukueni tu bwashee
Simba hawanaga tabia za kijinga kama hizo . Hizo tabia wanazo vichaa wa utopolo. Mchezaji akihamia timu nyingine inakuwa vita.Ajiandae kuchukiwa na makolo nzima
Majibu ya vipimo vya Mkude kule muhimbili yalitokaje?Huyo mwehu mchukueni tu bwashee
Siasa na mpira havina adui au rafiki wa kudumu.Viongozi wa Yanga wakimrejesha Morrison watakuwa mamburura...
Simba hawanaga tabia za kijinga kama hizo . Hizo tabia wanazo vichaa wa utopolo. Mchezaji akihamia timu nyingine inakuwa vita.
Nyionzima , ajibu na morisoni mwenyewe hiyo HabarI wanayo.
Kwani Yanga wanaosajiri wachezaji ni viongozi au GSM?Viongozi wa Yanga wakimrejesha Morrison watakuwa mamburura...
Kwani Yanga wanaosajiri wachezaji ni viongozi au GSM?