Bernard Morrison Apewa “Realesed Lettter” Mchana huu

Bernard Morrison Apewa “Realesed Lettter” Mchana huu

Ajiandae kuchukiwa na makolo nzima
Simba hawanaga tabia za kijinga kama hizo . Hizo tabia wanazo vichaa wa utopolo. Mchezaji akihamia timu nyingine inakuwa vita.

Nyionzima , ajibu na morisoni mwenyewe hiyo HabarI wanayo.
 
Viongozi wa Yanga wakimrejesha Morrison watakuwa mamburura...
 
Unabisha kitu kipo wazi kabisa,mfano chuki dhidi ya manara. Na saiv marrison mnamuita kichaa baada ya kupigania maslah yake
Simba hawanaga tabia za kijinga kama hizo . Hizo tabia wanazo vichaa wa utopolo. Mchezaji akihamia timu nyingine inakuwa vita.

Nyionzima , ajibu na morisoni mwenyewe hiyo HabarI wanayo.
 
Kashatambulishwa huko,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Morisson ni Utopolo.
 
Back
Top Bottom