Bernard Morrison Apewa “Realesed Lettter” Mchana huu

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Kama nilivyo waeleza hapo awali.

Ni aidha aondoke Barbara Gonzalenz au Bernard Morrison. Hawa mafahali wawili wameshindwa ishi zizi moja.

Kaeni tayari Bernard ataendelea kucheza LIGIKUU Msimu ujao 2022/23.
 
Huko kwenye timu yake ya Taifa nako wanamlilia kama hivi?
 
Morison kamuomba Rais Samia uraia wa Tanzania, kasema yupo tayari kuchezea taifa stars
 
morison kamuomba Rais samia uraia wa tanzania,kasema yupo tayari kuchezea taifa stars
Tanzania haiwez kutoa Uraia kwa Vichaa, pamoja na kipaji kizuri alichonacho Morison dishi lake haliko 100% perfect
 
Kama nilivyo waeleza hapo awali.

Ni aidha aondoke Barbara Gonzalenz au Bernard Morrison. Hawa mafahali wawili wameshindwa ishi zizi moja.

Kaeni tayari Bernard ataendelea kucheza LIGIKUU Msimu ujao 2022/23.
Inaiywa "release letter""
 
Kama nilivyo waeleza hapo awali.

Ni aidha aondoke Barbara Gonzalenz au Bernard Morrison. Hawa mafahali wawili wameshindwa ishi zizi moja.

Kaeni tayari Bernard ataendelea kucheza LIGIKUU Msimu ujao 2022/23.
Released letter ndo kande gani hizo
 
Kama nilivyo waeleza hapo awali.

Ni aidha aondoke Barbara Gonzalenz au Bernard Morrison. Hawa mafahali wawili wameshindwa ishi zizi moja.

Kaeni tayari Bernard ataendelea kucheza LIGIKUU Msimu ujao 2022/23.
Tumekuelewa Ahmed Ally.
 
Back
Top Bottom