Mkuu umeshaijua hatma ya Mzize mapema yote hii?Kuna projects ambazo ni failure, Mzize ni very average player, usitarajie kuna siku atakuwa tegemeo kama akina Mayele. Hapo alipo ndio kaiva.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Eeh hata Ronaldo walimchukuwa kwa ndevu zake.Yaweza kuwa kweli waarabu huwa wana nasa kwenye kamtego kadogo sana.[emoji23]
Morison ni mchezaji mzuri lakini ukijumlisha mechi zote za msimu na dk chache anazocheza unaweza kukuta hafikishi hata mechi 8 na kwa msimu,kakaa kijanja janja tuUtakaaje na mchezaji kama Morrison?
Unajuwa Morrison anacheza namba ngapi na hiyo nafasi yake kuna wachezaji gani?
Mzinze ni product ya Yanga kama alivyokuwa Mkude Simba, huwezi kumuacha ili ufurahishwe mtu kama wewe usiyejuwa Yanga wamewekeza kiasi gani kwake.
Mzinze bado hajaiva lakini bado anao muda wa kuleta furaha Jangwani akiongeza bidii.
Mzize hana tofauti na Demla,hawezi badilikaHow sure you are?
Morrison matatizo yake ni ngumu ku deal nayo, bora angefanya anayofanya lakini anaonekana akicheza michezo mingi lakini kwakweli halipo hilo. Ni kama mtumishi hewa tu anakula mshahara na uwanjani mechi anazocheza zinahesabika.Morrison anaujua vizuri mpira, shida yake ilikuwa nidhamu tu. Yanga haikupaswa kumwacha huyu jamaa afu unabakia na akina Mzize.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Yaani Boko awalbishe mkono mabosi wa Simba ,! You must be kidding!Ben ni mchezaji huru na ukiacha shida ya kinidhamu mpira anaujua, vilevile kwenye fursa anajiongeza na vitu uwa rahisi ukiweza kujiongeza ndivyo dunia ya soka inavyo kwenda.
Usione Boko haondoki Simba ukafikiri ni ndumba pekeyake anajua kuishi na viongozi wake vizuri kwakua mkono mtupu haulambwi.
Usione kule Ulaya Philip Jones anaumwa kila siku lakini mkataba hauvunjwi na analipwa mshahara kufulu ukadhani yanatokea kwa bahati mbaya.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wewe ni nabii?Mzize hana tofauti na Demla,hawezi badilika
Hapana ni mtumeWewe ni nabii?
Wote wanatafuta pesaKuna somo gani hapo unaweza kuta percent ya mshahara anampa nabi makocha wengi wanafanya huo mchezo.
Mbona alikuwa anampiga bench YangaJamaa kaonesha kitu , na Nabi nae kaonesha kumkubali, najiulizaa ina maana Nabi kamuona huyu tu hadi kumpigania kupata namba? Jibu nadhani ni Ndio , hapa kuna somo kubwa sana
Ndio maana nasema kuna somo ,ilewa neno SOMOMbona alikuwa anampiga bench Yanga
AlifanyajeBM kilichomwondoa ni kukosa nidhamu mbele ya raisi wa jamuhuri
Hata mimi nilitaka kusema hili. Huyu Nabi kamuweka benchi jamaa Yanga na kuna possibility kubwa report yake imechangia yeye kuachwa leo unaenda timu nyingine una mrecommend asajiliwe.Kuna somo gani hapo unaweza kuta percent ya mshahara anampa nabi makocha wengi wanafanya huo mchezo.
Osama anggekuwa namba tisa hatari sana kama kigezo ni ndevu, yesu angekuwa bonge la kipaHapo waarabu usikute wameangalia kigezo cha ndevu tu.