Bernard Morrison (Ben Maokoto) awajaza kwenye rada Waarabu

Bernard Morrison (Ben Maokoto) awajaza kwenye rada Waarabu

Utakaaje na mchezaji kama Morrison?

Unajuwa Morrison anacheza namba ngapi na hiyo nafasi yake kuna wachezaji gani?

Mzinze ni product ya Yanga kama alivyokuwa Mkude Simba, huwezi kumuacha ili ufurahishwe mtu kama wewe usiyejuwa Yanga wamewekeza kiasi gani kwake.

Mzinze bado hajaiva lakini bado anao muda wa kuleta furaha Jangwani akiongeza bidii.
Morison ni mchezaji mzuri lakini ukijumlisha mechi zote za msimu na dk chache anazocheza unaweza kukuta hafikishi hata mechi 8 na kwa msimu,kakaa kijanja janja tu
 
Morrison anaujua vizuri mpira, shida yake ilikuwa nidhamu tu. Yanga haikupaswa kumwacha huyu jamaa afu unabakia na akina Mzize.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Morrison matatizo yake ni ngumu ku deal nayo, bora angefanya anayofanya lakini anaonekana akicheza michezo mingi lakini kwakweli halipo hilo. Ni kama mtumishi hewa tu anakula mshahara na uwanjani mechi anazocheza zinahesabika.
 
Ben ni mchezaji huru na ukiacha shida ya kinidhamu mpira anaujua, vilevile kwenye fursa anajiongeza na vitu uwa rahisi ukiweza kujiongeza ndivyo dunia ya soka inavyo kwenda.

Usione Boko haondoki Simba ukafikiri ni ndumba pekeyake anajua kuishi na viongozi wake vizuri kwakua mkono mtupu haulambwi.
Usione kule Ulaya Philip Jones anaumwa kila siku lakini mkataba hauvunjwi na analipwa mshahara kufulu ukadhani yanatokea kwa bahati mbaya.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Yaani Boko awalbishe mkono mabosi wa Simba ,! You must be kidding!
 
Kuna somo gani hapo unaweza kuta percent ya mshahara anampa nabi makocha wengi wanafanya huo mchezo.
Hata mimi nilitaka kusema hili. Huyu Nabi kamuweka benchi jamaa Yanga na kuna possibility kubwa report yake imechangia yeye kuachwa leo unaenda timu nyingine una mrecommend asajiliwe.
 
Ben mchezaji mzuri tatizo hana muendelezo wa kiwango kizuri na anachagua mechi za kucheza kwa juhudi kubwa
 
Back
Top Bottom