Bernard Morrisson ni mchezaji mwenye kipaji na uwezo mkubwa wa akili

Numero Uno

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
607
Reaction score
1,302
Kama wewe ni mionhoni mwa watu wanaodhani kuwa BM3 ni mchezaji wa ovyo asiye na akili, basi tambua wewe ndio wa ovyo na usiye na akili mwenye IQ ndogo
 
Huyo jamaa anajua kuvuna hela. Na anajua mpira ni mchezo wa umri..

Yeye anatazama hela tu. Hana mapenzi na timu yoyote
 
Sijasema kuhusu mapenzi ya timu, naongelea uwezo wa IQ yake ambao watu wengi wanambeza na kumuona asiye na akili
 
Umeandika kimihemko tu.Morrison hana tofauti na Baloteli hao ni wachezaji wasio na nidhamu ila wana vipaji. Bila nidhamu hata kama una kipaji huwezi kufika mbali husisifie ujinga. Nidhamu mbovu ya Baloteli ndio imemfanya acheze serie B wakati fulani na pia nidhamu mbovu ya Morrison ndio imemfanya acheze ligi mbovu ya bongo.
 
Wakati mlipokubali awaoe hamkujua hilo?
 
Lile tukio la BM kuvua bukta Kigoma ndo linahakisi unachosema mleta mada.
 
Back
Top Bottom