Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 607
- 1,302
Sijasema kuhusu mapenzi ya timu, naongelea uwezo wa IQ yake ambao watu wengi wanambeza na kumuona asiye na akiliHuyo jamaa anajua kuvuna hela. Na anajua mpira ni mchezo wa umri..
Yeye anatazama hela tu. Hana mapenzi na timu yoyote
Wakati mlipokubali awaoe hamkujua hilo?Umeandika kimihemko tu.Morrison hana tofauti na Baloteli hao ni wachezaji wasio na nidhamu ila wana vipaji. Bila nidhamu hata kama una kipaji huwezi kufika mbali husisifie ujinga. Nidhamu mbovu ya Baloteli ndio imemfanya acheze serie B wakati fulani na pia nidhamu mbovu ya Morrison ndio imemfanya acheze ligi mbovu ya bongo.
Kama hamkuolewa nae CAS mlikuwa mnatafuta nini? Mijitu mizima na ndevu za mvi mnatambulisha mchezaji hasio wenu kuwa ni wenu.Wakati mlipokubali awaoe hamkujua hilo?
Nani aliyemleta hapa Tanzania?Kama hamkuolewa nae CAS mlikuwa mnatafuta nini? Mijitu mizima na ndevu za mvi mnatambulisha mchezaji hasio wenu kuwa ni wenu.
Kwa hiyo kumleta ndio sababu ya kwenda CAS kumlilia abaki?Nani aliyemleta hapa Tanzania?
Hujajibu swali..Kwa hiyo kumleta ndio sababu ya kwenda CAS kumlilia abaki?
Mlimleta. Kwa hiyo mlitaka kumng'ang'ania kama mlivyofanyia Ngasa akaishia kuchezea mchangani?Hujajibu swali..