Berth 2 and 3 of Lamu Port. Leo ndio mtajua kuwa Wachina hawataki mchezo kwa kazi.

Berth 2 and 3 of Lamu Port. Leo ndio mtajua kuwa Wachina hawataki mchezo kwa kazi.

Watu wanazungumza mambo ya maana wewe unatuletea vitu gani, hebu angalia hii picha hapa labda itafungua uelewa wako

China-Belt-and-Road-Initiative-map.jpg
Hii ni ndoto ya mchina hatokaa itimie, halafu imewakaa sana
 
Kenya sio LDC bwana ,tunao uwezo wa kulipa sisi sio kama Bagamoyo port imekwama kabisa .Go take the big log outta your eye 1st kabla kuja kutupangia mambo zetu .
Yaani ninyi na Mombasa yenu na Lamu zote zikamilike bado hamtokaa mfikie Tanzania total ports maximum length overall na draft kwa ports zote kubwa Tanzania ambazo ni Dar, Tanga, Zanzibar, Mtwara ambazo after all zote zipo kwenye major renovation and expansion to double all of them.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha yaani Dar port expansion ikikamilika itakua na ukubwa sawa na Mombasa na Lamu combined hizo ndio ports zote za Kenya zinakua zimeisha

Wakati Tanzania bado inakua na other modern ports kama Zanzibar, Mtwara, Tanga, Lindi, lakini kelele zao sasa 😂😂😂😂
 
Huu ndio ukweli ambao hawapendi kuusikia [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha yaani Dar port expansion ikikamilika itakua na ukubwa sawa na Mombasa na Lamu combined hizo ndio ports zote za Kenya zinakua zimeisha

Wakati Tanzania bado inakua na other modern ports kama Zanzibar, Mtwara, Tanga, Lindi, lakini kelele zao sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana chuki na wivu zinaongezeka daily [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini ni ukweli mchungu sana, kwa hiyo tusiwalaumu sana [emoji23][emoji28][emoji23] najaribu kuvaa viatu vyao havinitoshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muvumilie tu wakianza kudai...
Msijidanganye ni pesa zenu!
 
Nawaowa wakenya wakizidi kulimbikiza deni.
 
Ipo tofauti of being busy and being large

After all mnaongoza kuimport bidhaa Kenya, mind you 75% of all port cargo is destined to Kenya, hiko kipercent kinachobaki ndio kinaenda Uganda na kwingineko na Mombasa inahudumia more arrival cargo than departure
Kuna bandari ukanda huu ambayo inaizidi Mombasa kwa wingi wa mizigo? Hebu jaribu kutudanganya, bandari huwa inaitwa busy kwasababu ya wingi wa mizigo ambayo inapita kwenye bandari hiyo. Mombasa ni ya 8 Afrika, Dar haipo hata kwenye top 20.
 
Hahaha yaani Dar port expansion ikikamilika itakua na ukubwa sawa na Mombasa na Lamu combined hizo ndio ports zote za Kenya zinakua zimeisha

Wakati Tanzania bado inakua na other modern ports kama Zanzibar, Mtwara, Tanga, Lindi, lakini kelele zao sasa 😂😂😂😂

Kwani unafikiria port za Mombasa na Lamu zimewacha expansion?
Lamu ikikamilika itakua 32berths
Mombasa 24berths currently 19
Dar after expansion 12.

Ni uwongo unatuambia au ?
 
Kuna bandari ukanda huu ambayo inaizidi Mombasa kwa wingi wa mizigo? Hebu jaribu kutudanganya, bandari huwa inaitwa busy kwasababu ya wingi wa mizigo ambayo inapita kwenye bandari hiyo. Mombasa ni ya 8 Afrika, Dar haipo hata kwenye top 20.
Ni kweli mnaagiza bidhaa nyingi sana most of them ni food stuff na bidhaa nyingi kama nilivyokueleza, usijitia utaahira utafikiri hujanielewa my former reply, Tanzania haiagizi vitu hovyo, we only import essentials we don't produce na most of them are machines na construction consignments for infrastructure construction

HALAFU hakuna popote mlipoiacha Dar port

Screenshot_2019-08-17-19-48-25.png
 
Kwani unafikiria port za Mombasa na Lamu zimewacha expansion?
Lamu ikikamilika itakua 32berths
Mombasa 24berths currently 19
Dar after expansion 12.

Ni uwongo unatuambia au ?
When we discuss ports we focus on these factors
EB3Equ3WwAEiENk-1.jpeg

Dar port will be expanded up to new 25 berths after TPA finish TICTS is coming up.
 
Mbona lamu ipo very isolated from the network, its like they could end in djibouti and everything would be fine, but they opted to include lamu, naona ni sababu wanajua wataimilika.
Nakubaliana nawe Hii naona ni propaganda ya Manyang'au, wanapenda kupika takwimu na mambo ya kudhalilisha Tz.
 
Back
Top Bottom