Besigye afikishwa mahakamani

Besigye afikishwa mahakamani

John Cannor

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
1,464
Reaction score
1,825
160615111409_besigye_court_512x288_bbc_nocredit.jpg

Jaji nchini Uganda ametoa amri kuwa kesi ya kiongozi wa upinzani nchini humo Kizza Besigye, ifanyike mahakamani kwa makosa ya uhaini na wala sio kwenye gereza lenye ulinzi mkali ambapo anazuiliwa.

Besigye alifikishwa mahakamani kwa muda mfupi ambapo kesi yake iliahairishwa hadi tarehe 29 mwezi Juni.

Mwendesha mashtaka aliomba kesi hiyo kufanyika mahakamani kutokana na sababu za kiusalama.

Alikamatwa mwezi uliopita na kushtakiwa kwa uhaini baada ya kupanga sherehe za kuapishwa kwake kama rais.

Alipinga ushindi wa Rais Yoweri Museveni wa awamu ya tano wa uchaguzi wa mwezi Februari.
 
Daah...nadhani next ziara itakuwa UG,
ili akajifunze wanawezaje haya yote
 
Back
Top Bottom