S Shania Komba Member Joined Nov 9, 2018 Posts 21 Reaction score 9 Dec 30, 2018 #1 Huyu mdau kapigwa picha na mtu aliyeita Taxify South Africa, jamaa katokea na taulo, halaf cha ajabu anafanana mno na Besigye. Kama si yeye basi duniani wawili wawili walahi πππππ
Huyu mdau kapigwa picha na mtu aliyeita Taxify South Africa, jamaa katokea na taulo, halaf cha ajabu anafanana mno na Besigye. Kama si yeye basi duniani wawili wawili walahi πππππ
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,590 Reaction score 6,355 Dec 30, 2018 #2 Huyu busigye ni nani?,nisaidie mimi simjui kwa kweli Sent using Jamii Forums mobile app
S Shania Komba Member Joined Nov 9, 2018 Posts 21 Reaction score 9 Dec 30, 2018 Thread starter #3 Jephta2003 said: Huyu busigye ni nani?,nisaidie mimi simjui kwa kweli Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Si ni yule jamaa alikua anataka Uraisi wa Museveni, akawa anakamatwa kamatwa.
Jephta2003 said: Huyu busigye ni nani?,nisaidie mimi simjui kwa kweli Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Si ni yule jamaa alikua anataka Uraisi wa Museveni, akawa anakamatwa kamatwa.