TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hoja zangu zenye mashiko ni juu ya chura?🙂🙂🙂Moja kwa moja member kwenye mada member hawa 5 ndio wenyewe hoja zenye mashiko ndani ya kipindi hiki Cha mwaka 2020
Waki'Comment au kuanzisha bandiko lazima utulize kichwa
Tunaanza na....÷
1.@Mshana Jr
2. Kiranga
3. Behaviourist
4. BAK
TEAM 666
For my research
Kumbeee..Ushiwashi wenye matiki zakihoja kujenga hoja na kujibu hoja hhuwa wanaenda Deep kwenye mada no kukurupa wala kukimbia.
Hapa tumeweka research ya mwaka 2020Unajiweka mwenyew unamsahau rick boy
Na yule mbibi sijui faiza fox,
Na yule mwandishi mayalla???
Bora top tena tuu
Ndo mleta hojaHuyo team 666 ndo yupi
😆😆😆😆ila wew jombaa unajijuaga mwenyeweMimi hoja zangu zenye mashiko ni juu ya chura?🙂🙂🙂
🤣🤣🤣🤣Huyo team 666 ndo yupi
Atakua kiranga si ndyo?Hapo kwa hiyo listi naona ni jamaa mmoja tu ndo huwa hakimbii,hata michango yake pia inasomeka kwa wenye akili ijapokuwa sometimes analeta michango isiyo na maana coz hakuna mwanadamu mkamilifu na ukipambana naye hoja kwa hoja ukikaa vibaya anakupa knock out inabid uwe sawa kichwani pia na kimalkia pia anakimudu vizuri,so yuko vizuri jamaa apo..... nafikiri kajulikana tayari