Best 5 member wa Jamiiforums mwaka 2020 mwenye ushawishi mkubwa

Best 5 member wa Jamiiforums mwaka 2020 mwenye ushawishi mkubwa

Moja kwa moja member kwenye mada member hawa 5 ndio wenyewe hoja zenye mashiko ndani ya kipindi hiki Cha mwaka 2020

Waki'Comment au kuanzisha bandiko lazima utulize kichwa

Tunaanza na....÷

1.@Mshana Jr

2. Kiranga

3. Behaviourist

4. BAK

TEAM 666

For my research
Mimi hoja zangu zenye mashiko ni juu ya chura?🙂🙂🙂
 
Ushawishi upi mkuu maana hapo sijaona ke sasa ushawishi upi huo ndugu hebu Kuwa serious na maisha..[emoji28]
Ushawishi wenye matiki zakihoja kujenga hoja na kujibu hoja huwa wanaenda Deep kwenye mada no kukurupa wala kukimbia.
 
Hapo kwa hiyo listi naona ni jamaa mmoja tu ndo huwa hakimbii,hata michango yake pia inasomeka kwa wenye akili ijapokuwa sometimes analeta michango isiyo na maana coz hakuna mwanadamu mkamilifu na ukipambana naye hoja kwa hoja ukikaa vibaya anakupa knock out inabid uwe sawa kichwani pia na kimalkia pia anakimudu vizuri,so yuko vizuri jamaa apo..... nafikiri kajulikana tayari
 
Atakua kiranga si ndyo?
 
Back
Top Bottom