Best 5 member wa Jamiiforums mwaka 2020 mwenye ushawishi mkubwa

Mimi hoja zangu zenye mashiko ni juu ya chura?🙂🙂🙂
 
Ushawishi upi mkuu maana hapo sijaona ke sasa ushawishi upi huo ndugu hebu Kuwa serious na maisha..[emoji28]
Ushawishi wenye matiki zakihoja kujenga hoja na kujibu hoja huwa wanaenda Deep kwenye mada no kukurupa wala kukimbia.
 
Hapo kwa hiyo listi naona ni jamaa mmoja tu ndo huwa hakimbii,hata michango yake pia inasomeka kwa wenye akili ijapokuwa sometimes analeta michango isiyo na maana coz hakuna mwanadamu mkamilifu na ukipambana naye hoja kwa hoja ukikaa vibaya anakupa knock out inabid uwe sawa kichwani pia na kimalkia pia anakimudu vizuri,so yuko vizuri jamaa apo..... nafikiri kajulikana tayari
 
Atakua kiranga si ndyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…